Posho si dhambi, dhambi ni posho inapokosa utu - Lema

Du huyo ndiyo mbunge bwana!natamani ningezaliwa Arusha.mimi mbunge wangu anafanya kazi ya kuzindua albamu ya kumtukana Ruge!

Kama vile jamaa siku ile alitangaza kuuacha ubunge na kurudi kwenye sanaa. Anyway, waliomchagua bado wanamuheshimu.
 
Big up! Kamanda Lema. Nimependa jinsi ulivyo fanya uchambuzi. Ni kweli kinachotukera zaidi ni hiyo tofauti iliyopo ......Huku kukiwa hakuna dhamira ya dhati ya Serikali kupambana na umaskini uliokithiri wa watz walio wengi.
 
Kamanda Lema viva, usichoke, na wala usikate tamaa wala usimumunye kamanda. Tunaomba vilevile hili suala la ajira kwa watu binafsi mlifikirie lipambanuliwe kwa upana zaidi ili kila mtanzania awe na maisha ya hueni.

Hili suala lazima mpambane nalo ikiwezekana liingie hata kulipa kwa masaa, mtaona jinsi watanzania watakavyofanya kazi.
 
Du huyo ndiyo mbunge bwana!natamani ningezaliwa Arusha.mimi mbunge wangu anafanya kazi ya kuzindua albamu ya kumtukana Ruge!

Labda una chuki binafsi na sugu,lakini wabunge wote wa chadema ni majembe,hebu re-call vurugu za mbeya pia hivi karibuni
 
Nawashauli CHADEMA Chukueni posho kama Magamba, Lakini Kaeni kama team pangeni kila mbunge achukue posho kiasi gani kwenye posho na kiasi kinancho baki pangieni matumizi mbadala. Mfano Chukueni 100,000 kila mbunge kwa siku na 100,000 mnachanga mnanunua mfano vitanda muhimbili mnavipiga chapa ya chadema, next kikao mnaweza nunua kitu kingine jimbo lingine hivyo hivvo kila jimbo wekeni foot print kwa mtaji wa posho! The Magambas are desperate they cant afford to leave posho !

Safi sana!wazo nimelikubali
 
Labda una chuki binafsi na sugu,lakini wabunge wote wa chadema ni majembe,hebu re-call vurugu za mbeya pia hivi karibuni
Mkuu, anachokifanya huyo jamaa uliem-quote ni kututoa kwenye mada tuanze kuangalia nani zaidi kati ya Lema na Sugu lakini watu kama hawa ukisha washitukia unawapotezea tu...............
 
Bravo - LEMA, naona wabunge wenzako Therathini na Shibuda watalipitia tamko lako na watalifanyika kazi kwamba hatukatai Posho ila inapotolewa kiholela inakosa utu.

Kiongozi yeyote ni mfano kwa wale anaowaongoza kwa kila nyanja -- hili hata mimi nilifundishwa na baba yangu nilipochaguliwa kuwa kiranja nikiwa darasa la nne.

Sasa mbunge anapopata Posho ya siku sawa or less na mshahara wa mwezi wa mpiga kura wake - hapa ndipo tatizo lenyewe. Ubunge ni utumishi wa umma jamani si biashara. kama maisha ni magumu basi wote tuyashuhudie. hii hoja ya eti wabunge tuna wapigakura wetu maskini tunawasaidia - unamsaidia mpiga kura wako kwa kumpa posho? how?

Aisee Lema umemaliza.
 
Safi Mh lema tupo pamoja na wewe! Ni heri sisi tukose kabisa 2015 wao CCM na watoto wao wapungukiwe,mana sisi maskini hatuna tunachomiliki,tutayachoma moto magorofa yao na mahoteli yao we subiri.
 
Nawashauli CHADEMA Chukueni posho kama Magamba, Lakini Kaeni kama team pangeni kila mbunge achukue posho kiasi gani kwenye posho na kiasi kinancho baki pangieni matumizi mbadala. Mfano Chukueni 100,000 kila mbunge kwa siku na 100,000 mnachanga mnanunua mfano vitanda muhimbili mnavipiga chapa ya chadema, next kikao mnaweza nunua kitu kingine jimbo lingine hivyo hivvo kila jimbo wekeni foot print kwa mtaji wa posho! The Magambas are desperate they cant afford to leave posho !

Da mkuu umenena. Nakuomba huu mchanganuo mtumie zito kabwe kwenye twitter au facebook unaweza kuleta tija na hatimae kuleta ushindani wa kweli
 
Nawashauli CHADEMA Chukueni posho kama Magamba, Lakini Kaeni kama team pangeni kila mbunge achukue posho kiasi gani kwenye posho na kiasi kinancho baki pangieni matumizi mbadala. Mfano Chukueni 100,000 kila mbunge kwa siku na 100,000 mnachanga mnanunua mfano vitanda muhimbili mnavipiga chapa ya chadema, next kikao mnaweza nunua kitu kingine jimbo lingine hivyo hivvo kila jimbo wekeni foot print kwa mtaji wa posho! The Magambas are desperate they cant afford to leave posho !

Vitapokelewa? Ndesamburo magari yake ya mkopo wa uBunge huwa anachukua L/Cruiser Hard Top anatoa kama ambulance kwa vituo vya afya Moshi, tena hayana hata chapa...halmashauri ya jiji wanazikataa kila siku, wanazipokea kwa 'mbinde'!
 
Asante Lema kwa uelewa huu. Wanajamvi, nawaomba tujadili basi dhana ya uwakilishi, naamini wabunge wanatuwakilisha kuwasilisha mawazo, maoni mitizamo n.k bungeni.

Taasisi yenye kujumuisha watumishi wachache (katibu wa bunge) kupanga malipo ya waajiriwa wetu ni kuhamisha majukumu ya wabunge kwa wanaowawakilisha kwenda kwa ofisi ya bunge.

Ndiyo maana wabunge wanashawishiwa kirahisi kuwasaliti wapipakura wao, mfano halisi ni muswada wa katiba, wabunge wa ccm wameamua kusema uongo kwa makusudi kwamba wenye nchi tumejadili huo muswada, hapa nina maana dhana ya uwakilishi imepora mamlaka ya anayewakilishwa! Kuanzia mawazo mpaka stahili za malipo. Tujipange kumrudishia mamlaka mwenyenchi.
 
nec%2B3.jpg

Tafsiri yangu juu ya ongezeko la posho za wabunge kisirisiri wakati wa kikao cha bunge kilichomalizika bila kufuata utaratibu na hata baadhi ya wabunge kutojua nini kinachoendelea, ni mbinu mpya iliyobuniwa kuwarubuni wabunge wa CCM kupitisha mswada wa sheria ya katiba mpya. Hii inatokana na ukweli kwamba jambo hilo limefanyika sambamba na jitihada za serikali na wabunge wa CCM kutumia wingi wao kupitisha mswada huo.

Ishara za nyakati zinaonyesha jinsi serikali inavyotumia mbinu za kuwafumba macho wabunge kwa kuwaongezea mishahara, malupulupu kwa vile ni chombo pekee chenye kuinyooshea serikali vidole inapolegalega au kuvujisha pesa za umma.
 
Tunahitaji wabunge na viongozi wengine wawe na mawazo ya aina hii.
Big up Mh. Lema.
 
Nawashauli CHADEMA Chukueni posho kama Magamba, Lakini Kaeni kama team pangeni kila mbunge achukue posho kiasi gani kwenye posho na kiasi kinancho baki pangieni matumizi mbadala. Mfano Chukueni 100,000 kila mbunge kwa siku na 100,000 mnachanga mnanunua mfano vitanda muhimbili mnavipiga chapa ya chadema, next kikao mnaweza nunua kitu kingine jimbo lingine hivyo hivvo kila jimbo wekeni foot print kwa mtaji wa posho! The Magambas are desperate they cant afford to leave posho !

Aisee we ni great thinker wa ukweli ushauri wako umetulia sana,nimeupenda.
 
Hizo posho zote zingetosha kununua Ambulance 280 kwa mwaka mmoja tu kwa bei ya sh. 100,000,000 kwa ambulance moja. Lakini serikali kila siku haina pesa za kutosha kununua ambulance. Badal ayake eti wananunua bajaji kubebea wamama wajazawazito!
 
TAMKO lako mhe. Lema, ndo ukweli wenyewe. Utu uzingatiwe katika suala zima la posho na mishahara kwa watumishi wa umma na hata sekta binafsi ziangaliwe pia. Haiingii akilini posho ya mbunge kwa kikao kimoja siku moga unazidi mshahara wa mwezi mzima kwa mtumishi wa kima cha chini tena gross kabla hajakatwa makato mbalimbali achilia mbali sekta binafsi. Nawashauri wabunge wanaoshabikia hizi posho, wasome alama za nyakati. Sisi maisha yanatupiga kila kukicha afadhali ya jana, na wao wananeemeka kila kukicha. Siku uvumilivu ukifika kikomo, ni lazima wataturudishia mara 4 kama zakayo mtoza ushuru. Inatia hasira sana eti!
 
Nilikuwa najua kuwa hujui kujenga hoja ndio maana kilakukicha unapiga na mapolisi ila hapa nimekukubali mkuu..Nakuomba uitume kwenye gazeti la mwanahalisi.ilituisome vizuri.Nitafurahi pia bungeni uwe una kamua zaidi.Nakuombea maisha marefu LEMA.
 
Back
Top Bottom