Posho ni zengwe la kuwapumbaza wananchi!

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
wadau ukifuatilia kwa makini mjadala wa posho ni zengwe la kuwapumbaaza wananchi walalahoi na kuwafanya wasahau mambo mazito yalikwisha tokea na viongozi wao.Yapo mengi tu na hatujui hatma yake bila uutatuzi
 
Ikija scandal nyingine JEIKEI anavunja baraza la mawaziri ili mbaki mkijadili hiyo
 
Ikija scandal nyingine JEIKEI anavunja baraza la mawaziri ili mbaki mkijadili hiyo

there is some elements of truth!mitanzania sijui ikoje???wanavumilia mambo ambayo hakuna mtu yoyote duniani anaweza kuvumilia huu ujinga except tanzanians!
 
Tumeshajua janja yao mara zote kama kuna issue nzito wanaibua kitu kivute hisia watu wahame kule waliko....wanaziita siasa za matukio!watanzania wanafuata upepo wa matukio
 
Lakini hizo ni mbinu mbadala zinazotumiwa mambo yanapokwenda kombo, hivyo sitilii mashaka sana kuona hayo yakitokea natumaini hali ni mbaya kwa upande wa serikali yake.
 
Kama Babu wa Loliondo alikuzwa ili kutumika kufunika Dowans; niko najiuliza, hili zengwe la posho lina lengo la kufunika kitu gani??? Mwenye hisia anijuze!!!

hili zengwe la posho limeanzishwa kwaajili ya kufunika mchakato wa utaratibu wa uundaji tume ya ukusanyaji wa maoni ya kuandika katiba mpya.

Upingaji wa ulipwaji wa dowance ulifunikwa na mchakato wa katiba na mchakato wa katiba umefunikwa na posho.

Wataleta longolongo weee za posho tukistuka yale yakatiba ya shatimia na wamefanya walivyokusudia sis tunabaki tuking'aa tu sharubu.
 
Kama Babu wa Loliondo alikuzwa ili kutumika kufunika Dowans; niko najiuliza, hili zengwe la posho lina lengo la kufunika kitu gani??? Mwenye hisia anijuze!!!



Ili limetokea ili kufunika taarifa ya tume ya bunge juu y Jairo, kina Luhanjo, Ngeleja n co. Pia kufunika mambo ya mswada wa ile tume ya katiba.
 
Back
Top Bottom