Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
...............
Alipohojiwa kwanini wasianze wabunge wote kama kweli anakubaliana na Zitto, jibu lake likawa ni kwa sababu shida za wabunge zinatofautiana, na kwa wabunge wengi kama yeye wanatumia pesa hizo kuwasaidia wapiga kura wao kila wanapotembelea majimbo yao.
My take: JE PESA ZILIZOTENGWA ZA MFUKO WA JIMBO ZINAFANYA KAZI GANI NDUGU CHILIGATI??????:
:disapointed: :disapointed::disapointed::disapointed: Aiseeee hawa wazeee wetu wanzeeka vibaya . Kwamba wanatumia mishahara yao kuwasaidia wapiga kura. So kwa mujibu wake ni bora wabunge waongezewe mshahara ili wandelee kuwasaidia wapiga kura wengi zaidi.
Is this true huyu jamaaa katamka hivi.????? Hii siasa zetu tanzania ni kichekesho . Hope wananchi wa jimbo lake hawaipati hiyo cluds huko.
Kwa maana hiyo mbunge akitoka kijiji fulani basi hicho kijiji kitanemeeka kuliko vijiji vingine? Je abla hajawa mbunge mbunge aliyemtagulia jimboni wake alisamidia nini au alisaidia nini wazazi wake chiligati ?
Alitakiwa amuulize anaona ni halalai mbunge kukuoea mshahara mubwa kuliko AFsa elimu wa mkoa. Mganga mkuu wa mkoa,, Mhandisi wa Mkoa, Afisa Kilimo wa Mkoa au Afisa Mifugo. Kwa nini wabunge hawapiganii watu hawa wawe na mishahara minono kama wao au zaidi yao?
Mchango wa mbunge kuleta mabadiliko endelevu kwenye maisha ya ya jamii ni mdogo sana. Nchi hii inahitaji watendaji si wanasiasa. Watendaji ndo wanatakiwa kupewa vinono ili wasikimbilie kwenye siasa.
kama kweli katamka maneno haya
Its disgusting kusoma kuna mammtu yako kwenye high rank ya chama kilichopo madarakani yanatamka maneno kama haya