Posho/Mshahara /Kiinua mgongo cha Tume za Uchunguzi!!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Huwa ni shi ngapi? Mbona sijawahi kusikia mjumbe au mwenyekiti amejitoa baada ya kuona posho haitoshi?
Makubalino huwa yanafanywa muda gani kiasi kwamba kila tume itangazwapo kila mmoja huridhia?

Bajeti/fungu huwa linatoka wapi?
 
Ukitaka kucheka, hili swali muulize Ndolanga Muhidin, yule kamanda alikuwaga boss wa FAT zamani.

Back
Top Bottom