Posho kwa wabunge hazijapanda-katibu wa bunge Thomas kashilila

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
katibu wa bunge Thomas Kashilila amekanusha uvumi ulioenea hapa nchini kuwa posho kwa wabunge zimepanda.
Akiongea na waandishi wa habari jijini DSM leo kashilila amesema kuwa hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika katika posho za wabunge na hao wanaozusha habari hizo ni sawa na radio mbao.posho za wabunge ni zile zile za zamani japo kumekuwa na mjadala mkubwa miongoni mwa wabunge wakitaka posho hizo ziongezwe.

SOUCE;Taarifa ya habari,tbc na star tv.
 
Mbona kwa semina ya jairo kila mbuge, pamoja na Anne Makinda na Mizengo Pinda walipokea "sitting allowance " ya shilingi 280,000. Semina ilikuwa ya dakika 40 tu.

macinkus
 
Back
Top Bottom