MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Wanategemea Pinda aingilie utendaji wa Magufuli? Akithubutu kufanya hivyo nina uhakika Magufuli atastaafu na safari hii hawataweza kumsihi kama walivyofanya wakati ule.
Pili hao wabunge wanafahamu nini kuhusu heshima au dharau, vipi kuhusu kauli za huyo Guninita alipomshambulia Sitta mwaka jana na hata alipokuwa speaker, wakati yeye Guninita akitetea mafisadi? Je kwa kutetea kwake hao mafisadi haikuwa dharau kwa wananchi?
Acha waendelee kujicholesha na kujiandalia the great fall, we are watching.
makosa ya Guninita kumshambulia Sitta hayamzuii kutenda haki kwenye jambo la kivuko.