POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

Mmmh, wabunge wengine vichwa panzi kweli, yaan wamekuwa wakali ka Kiboko aliyeguswa nyeti zake kisa Posho, utafikiri posho ndo uhai wao. Hakyanani sisiem hamna maisha marefu, laana na manung'uniko yote na tabu zote wanazopata majority Watanzania zitawaandama maisha yenu yote..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom