Porojo za RC wa Dar!

Mzaa kama kidogo na hao waqkuu wa wilaya walivyo waoga hawajapinga wamemhakikishia kilaza mwenzao kwamba watatekeleza jamani poleni wakaazi wa dar mnaopenda mabadiliko
 
Nimemsikia akiwaagiza wakuu wa wilaya kuondoa tatizo la msongamano wa magari na kupanda kwa bei ya vyakula. Huu ni mzaha mwinginee
Mkuu acha kuvunja watu mbavu bwana. Labda umesikiliza vibaya. Kuwa amewaagiza wakuu wa wilaya za Dar es salaam kuondoa msongamano wa magari na kupanda kwa bei ya vyakula.... nakubaliana na wewe ni mzaha.... tena mzaha wa mwaka 2012. Hivi vyeo vya kupewa kama zawadi vina matatizo makubwa.
 
nahisi kama halimashauri ya dar bageti ishakauka mashimo na mahandaki ni mengi sana dar na kila mtu anapenda gari lake alilolipia kodi sawa wakianza kuziba mahandaki na mavyuma yaliyonyofolewa na watu ilhali mamlaka haijui mali zake zipoje na wanazilindaje watapunguza foleni halafu mataa nayo yawekwe standby umeme,waongeze makusanyo waongeze ufanisi na sio hv mashimo mashimo na mikwara ya kuchima makaro na kuacha mwezi bila ukarabati
 
Umenivunja mbavu kwa utani huu. Mtafute mtu mmoja anayeitwa Masaburi, nadhani anaweza kusaidia kutueleza huyu mkuu wa mkoa wa dar anafikilia kwa kutumia kiungo gani cha mwili wake.
 
Nimemsikia akiwaagiza wakuu wa wilaya kuondoa tatizo la msongamano wa magari na kupanda kwa bei ya vyakula. Huu ni mzaha mwinginee

Viongozi Wa ccm ndani ya Serikali ni mfano Wa vipofu kwa vipofu hakuna anaeweza kumuongoza mwenzie njia
 
huyo mzee ni mgonjwa katoka nje juzi kutibiwa...

Naweza kuamini unachosema maana hata ukiishia std four huwezi kuwa na mawazo finyu namna hii , hivi hyu hana watoto washauriwe kumktaza baba yao kutokota namna hii?
 
Umenivunja mbavu kwa utani huu. Mtafute mtu mmoja anayeitwa Masaburi, nadhani anaweza kusaidia kutueleza huyu mkuu wa mkoa wa dar anafikilia kwa kutumia kiungo gani cha mwili wake.

huyu mzee atakua anatumia MAKWAPA,,,,, kwa mujibu wa ma-sir-buri DIDAS
 
hivi ile habari ya njia tatu asuhi na jioni iliishia wapi? Tanzania bwana, nahisi tunaongozwa na Mungu- tu, maana Jk ni Chaguo la Mungu
 
Raisi Kikwete alishaahidi fly over hazijaonekana mpaka leo,huyo mkuu Wa mkoa/Mkuu Wa wilaya ni kina nani?

Watanzania mbona hamna subra?

kwani muda wa uongozi umeisha? subiri muda uishe yaani 2015 ndio muanze kulalamika!

Ahadi zote zitatekelezwa 2010-2015.
 
Back
Top Bottom