Porojo na Blaa Blaa za JK Australia

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
''asilimia hamsini ya madini ya dunia yanatoka Afrik, asilimia kumi ya mafuta ya dunia yanatoka afika, Afrika kuna ardhi asilimia 60 ambayo haijalimwa lakini yafaa kwa kilimo''. sasa huyu baba rizwani nadhani kama ni malari kupanda nadhani imefika kichwani. hivi huko australia ametumwa kuiwakilisha afirika au tanzania? hao wawekezaji anaokwenda kuwatembezea bakuli, anafanya hivo kwa ajili ya waTZ au afirika nzima. dah, na hapa nickie tena m2 anasema nimepost crap.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom