Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 277
Sijajua kama jamvini tumewahi kufikiri swala la pornography na ndoa zetu! Does it help anything? How devastating it is? Maana
hapa kwenye ndoa kuna wa aina tatu.
a) Both mume na mke wanakubaliana na wanaangalia kwa pamoja! (sijui imekaaje hii)
b) Both wanaibiana, hakuna anae mwambia mwenzake kwamba tuangalie! Kila mmoja anajua mwenzake haangalii lakini wote
wanaangalia!
c) Halafu wapo ambao mmoja ndo mwibiaji mkubwa!
Testimony of Jill C. Manning
Before the Subcommittee on the Constitution, Civil Rightsand Property Rights Commitee on Judiciary
United States Senate
November 9, 2005
Thank you Senator Brownback, Senator Feingold and distinguished members of the Sub-Committee;
. . . The research indicates pornography consumption is associated with the following six trends, among others:

- Increased marital distress, and risk of separation and divorce,
- Decreased marital intimacy and sexual satisfaction,
- Infidelity
- Increased appetite for more graphic types of pornography and sexual activity associated with abusive, illegal or unsafe practices,
- Devaluation of monogamy, marriage and child rearing,
- An increasing number of people struggling with compulsive and addictive sexual behaviour.