Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Wakuu mbona nikifungua JF napata sana Pop-ups nyingi ...lakini sites zingine hakuna natumia firefox kama browser yangu. Kuna kipi nikifanye maana nine strong antivirus Sophos...hakuna adware wala spaware inayoweza katiza. Nikiwa JF kuna windows kibao zina pop up nifanyaje niweze block....Msaada
Masa wa Nilo
Masa wa Nilo