Popobawa kaibuka

ukila ngurue aka kitimoto popobawa hakufuati,hii pia ni fursa ya biashara kupeleka kitimoto pemba...
 
Nasikia dawa yake ndogo unachukua mfupa wa nguruwe unauingiza kwenye tigo haji kabisa

Tafadhari usijiingize hilo fupa kwa ajili ya uvumi wa kijinga kwa kufanya hivyo utafanya mfupa uwe substitute ya popobawa
 
Hivi hizi hekaya za hili lidude hua za kweli? Mi nimeanza kusikia watu wanasimuliana tangu miaka ya 90 na.
 
hadi leo hakuna proof yoyote ile..

Sasa nashangaa watu kila uchao wanaibuka na hekaya hizi sijua nani alizianzisha! Nataka ajitokeze mdau japo mmoja ktk hili atupe ushuhuda ikiwezekana pia na njia za kulikwepa zimwi hili.
 
Back
Top Bottom