Pop star 'infected lover

Kuna concept ambayo huwa iko vichwani mwa watu wengi kuwa HIV ni tatizo la nchi maskini tu, hasa nchi za Afrika na Bara la Asia, eti marekani na Ulaya ni shwari.
Kwa taarifa ni kwamba Marekani pia kuna tatizo kubwa la HIV. Reports za CDC zinaonyesha kuwa Washington DC maambukizi yako kwenye kiwango (prevalence) ya 3%, yaani watu 3 wameambukizwa kwa kila watu 100 (kiwango cha juu kuliko states zote marekani).
Kwa kulinganisha tu nawaletea statistics za sehemu nyingine kama ifuatavyo;
Burkina Faso 2.0%
DRC 2.9%
Tanzania 6.8%
Kigoma 1.5%
Kilimanjaro 2.2%
Singida 2.8%
Dar 10.2%
Washington DC 3% (Cha kusikitisha lakini, zaidi ni kuwa among black men, prevalence ni 7.2%)
Kwa hiyo jamani tuchukue tahadhari popote tulipo.
Msi-Yo Yo (msiuze) sana timu bila kuvaa viatu, mtapigwa magoli kama Porto.
Source mbalimbali, mojawapo hii CDC - NCHHSTP State Profiles

https://www.jamiiforums.com/international-forum/27278-fyi.html

Duh demu mzuri eeeh! sema ngoma ya Majuu haiko aggressive sana- ukistukia mapema unadunda tu, miaka hata zaidi ya 20.
 
...True. Former Basketballer Magic Johnson ana miaka mingapi sasa since 1984/85! Lishe nayo ina-matter. Kwetu mtu ana ngoma anashindia Chipsi Dume kutokana na hali ngumu ya maisha! ni vigumu kufika mbali...

Aina ya virusi pia. Katika HIV-1 kuna strains mbalimbali, kwetu bongotz utakuta ni vile virusi vikali zaidi (strain C ama michanganyiko mbalimbali), US ni strain B ambayo ina unafuu.
 
Back
Top Bottom