Poor phone manners can cost you a fortune.

Prime Dynamics

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
551
249
You are watching a live promotion, take for instance Vodacom promotion, a representative announces that X had won 10m prize.
1st phone rings 10 times but the owner doesn’t pick it up. (Tayari huyo kakosa) A second draw is taken, the phone rings and one picks it. Then Vodacom person asks “ hello habari what’s your name? reply from a subscriber X “kwani wewe unamtaka nani?" after a few seconds he hangs up. Someone just misses that 10m just like that! You just feel like; why doesn’t this guy call my number jamaniiii! Duh! You may feel like just flying over to this man and hit his head. The next subscriber is called, and the ringing tone finds him in a very noisy place like a bar in fact. “Where are you?” his asked. Then he replies “What do you want?” the man replies rudely. Luckily, Vodacom representative quickly tells him; “am calling from Vodacom”, otherwise he (subscriber) was on the brink of hanging up on him. Many of the others have been more polite, most probably because the phone call found them watching the live draw.

Becoming a phone user is not just about buying a handset and a SIM card. A phone is a tool for social interaction, ensuring good telephone behavior is part of being civilized. Phone rudeness even to strangers is a vice to be avoided. Even if it is a wrong number, it does not mean that one should be rude.

Mkuu mtu mwingine anakupigia simu halafu anakuuliza "Wee nani" wakati yeye ndio kakupigia simu inapashwa ajitambulishe kwanza
 
Mkuu mtu mwingine anakupigia simu halafu anakuuliza "Wee nani" wakati yeye ndio kakupigia simu inapashwa ajitambulishe kwanza

Mimi nadhani ukipokea simu kama hiyo, taja jina lako moja, halafu nae pia muulize "nani mwenzangu?" you never know anataka kwambia nini may be ndugu yako anaitwa kwenye interview IKULU!
 
Mimi nadhani ukipokea simu kama hiyo, taja jina lako moja, halafu nae pia muulize "nani mwenzangu?" you never know anataka kwambia nini may be ndugu yako anaitwa kwenye interview IKULU!
But the way he's asking you its like he's demanding and its not in the form of request
 
You are watching a live promotion, take for instance Vodacom promotion, a representative announces that X had won 10m prize.
1st phone rings 10 times but the owner doesn’t pick it up. (Tayari huyo kakosa) A second draw is taken, the phone rings and one picks it. Then Vodacom person asks “ hello habari what’s your name? reply from a subscriber X “kwani wewe unamtaka nani?" after a few seconds he hangs up. Someone just misses that 10m just like that! You just feel like; why doesn’t this guy call my number jamaniiii! Duh! You may feel like just flying over to this man and hit his head. The next subscriber is called, and the ringing tone finds him in a very noisy place like a bar in fact. “Where are you?” his asked. Then he replies “What do you want?” the man replies rudely. Luckily, Vodacom representative quickly tells him; “am calling from Vodacom”, otherwise he (subscriber) was on the brink of hanging up on him. Many of the others have been more polite, most probably because the phone call found them watching the live draw.

Becoming a phone user is not just about buying a handset and a SIM card. A phone is a tool for social interaction, ensuring good telephone behavior is part of being civilized. Phone rudeness even to strangers is a vice to be avoided. Even if it is a wrong number, it does not mean that one should be rude.

Tatizo la kwanza ambalo ungeliweza kuliita la msingi, ni TABIA MBAYA ya mpiga simu.

Huwezi kumpigia simu mtu asiyekujua au hata kama anakujua lakini unauhakika hana namba yako ya simu, na ukaamua kutojitambusha kwanza. Halafu unataka mpokea simu ajitambulishe kwanza, huu ni ujuha. Nafikiri, kwa usahihi kabisa, hao wapiga simu kwa wateja wa kampuni "Y" ni majuha.
 
hee! Mkuu hako si kautaratibu ka customer care. Unapiga wewe anaanza yeye kujitambulisha.
Wenye tabia hiyo waache. Ukipiga simu anza kujitambulisha.

Mkuu unaweza kuta hiyo ndio interview ya kwanza, kuonyesha kama unaweza kufanya kazi under pressure!
 
Yaani nilitaka anzisha thread kama hii

au mtu ana shida na wewe anakuja ofisini mwako...

Ghafla simu yake inaita badala ya kuinuka na kwenda ongelea pembeni
anaanza kubwabwaja utumbo wake....
Au mwingine simu yake ina mlio wa kukera...hapokei,ukimuuliza kwa nini hupokei
eti ah huyu ananisumbua sana..huku nyinyi wengine mnakereka...

Kero juu ya kero
 
Mkuu wacha hiyo, imagine uko hospitalini halafu alioko mbele yako amemsindikiza mgojwa yuko hoi. afikapo kwa doctor simu yake inaita (ile milio ya kiChina) anapokea simu yake nakuendelea kuongea mamboyake. huku doctor anasubiri maelezo bcoz mjonjwa hawezi kujieleza wala kuongea. sasa ukiwa doctor utafanyaje? je utasubiri amalize kuongea na simu or you will call the next person? jamani mimi i don't want to imagine bcoz sometimes you can just wonder if some people were born or manufactured!
 
Wabongo wengi hawana manners..
Mtu yupo kwenye daladala anapokea simu anaanza kumwaga mambo yake ya binafsi....
 
ila kweli inaudhi mtu akupigie afu akuulize "we nani"..kama unataka kujua uliompigia nani si uanze kwa sahamani ninaongea kutoka mahala fulani naitwa fulani..afu ndo uulize jina la huyo mlengwa..hata mi ukiniuliza hivyo nitakuuliza we ulimpigia nani..

imenikumbusha kuna siku nimepata simu akaniuliza we nani nikamwambia ulikuwa umempigia nani akasema mwenye namba hii
nikamwambia ndo mimi.akaniuliza ndo wewe nani sasa...aliniudhi sana mana aliongea kwa hasira...

good phone manners zinaanza kwa mpiga simu ili mpigiwa simu arespond in good manners
 
Mi kidogo niko tofauti aisee, na nakubaliana na mtoa hoja. kwa kawaida namba nisiyoifahamu ikipiga kwenye sim yangu sipokei haloo... bali napokea ...Tuko hapa, ..nani mwenzangu? Then yeye anajitambulisha...
 
Tuko kwangu mimi its vice versa wewe ndio umepiga simu jitambulishe kwanza instead of asking me "Weee nani" ukishindwa basi hata sema "Samahani naongea na Mr X or Miss X" i really hate mtu anapopiga simu halafu unaanza kuniuliza 'Wee nani" tena kwa ku-demand
 
Ukitaka upasuke kwa hasira, nenda kwenye ofisi za moja ya makampuni yanayosafirisha abiria na parcel kwenda mikoa ya kaskazini. Jina la kampuni lianaanza na D.......... mwisho es. Tupo kwenye foleni ya kununua tiketi kwenye ofisi husika. Mhudumu anayekata tiketi yuko busy na simu yake karibia dakika tano. Anachoongea ni upupu wa hali ya juu! Hakihusiani na kazi anayofanya wala nini! Wote kwenye hii foleni tunalazimika kusikilia mazungumzo ya huyu ndugu( yasiyokuwwa na tija yoyote) kwa dakika tano nzima!
 
Back
Top Bottom