kupasua mguu badala ya kichwa siyo medical error ni utindio wa ubongo nchi zingine hao madoctor wangenyea debe kwa criminal negligency to be fair tatizo ni system nzima na utamaduni wa watanzania hakuna accountability
I believe this is part of his aides to patch JK's torn reputation.
The likes of Salva may well be behind all this drama.
The reason I consider Nyerere to be the only true leader we have ever had is the fact that he deserved all these decorations yet he chose to be called Mwalimu, what an exemplary father.
Kwa hili naomba nikupinge mkuuTeh teh teh teh kweli hakuna tofauti yoyote wote ni wasanii tu. Umesahau ile operation ya kichwa badala ya mguu?
sio lazimahivi kuwa prof ni lazima uwe na PhD!
Angesema kwanza yeye fani yake ipi... Hana maana huyo muache
Hahahaah wengine tulingundua mapema sana hilo! Baada ya Intern tukabadili kazi. Nadhani nimesahau sehemu kubwa ya udaktari
Hii ndiyo spirit broda
Yaani unakubali kwamba ile degree ya heshima ni famba, haijaleta tija kwa MUHAS wa products zake... Mwaka 2007 niliamua kusoma CFA, professor mmoja pale MUHAS akaua sana ati tunapoteza fani nikamwambia aliyepotea ni yule asiyejua yuko wapi, mimi najua niko wapi... na hapa Tanzania nilipo sekta ya afya ni weak na kiongozi wetu mkuu naye kakubali hilo
Yule professor akasema haya bana...akaenda zake, hadi leo tunawasiliana akiomba consultancies hata kama ni za level ya chini alimradi aweke cha ziada tumboni
huna akili hata kidogo umefanya jambo jema kwenda kwenye ungwini ungeua watu
Hahaaaaaaaaaaaaamkuu acid wewe ndiye MTM/DE NOVO?kumbe nawe ni mzee wa kitengo!
Siye vijana wa Mtabaji.Tuliburuzana nae sana kwenye issue ya faculty special requirements!
huna akili hata kidogo umefanya jambo jema kwenda kwenye ungwini ungeua watu
Tumekuelewa. Samahani ngwiniKithuku umejifanya kuuwa madaktari hapo juu kuwa wanaingialia kazi za kingwini na kuwa hawana lolote kama zamani. Uliumizwa nini? Let me declare conflict of interest. Mimi ni daktari nafanya kazi ya Kingwini na ninamake milioni 15 kwa mwezi and going up less than ten years tangu nigraduate. Hili ni jasho langu sijala rushwa ya mtu hata shilingi moja and I am proud of what I do.
Wewe kama ngwini unaweza kumtibu hata mgonjwa wa mafua? Hapana huwezi! Mimi naweza kutibu anytime na pia naweza kufanya Ungwini. Wewe unaonaje hiyo multitask?
Acha roho za korosho. Hao madaktari wanaowahudumia Watanzania wanafanya hivyo kwa moyo wa huruma serikali yenu inachojua ni kunua maV8 ilikukomoa watanganyika zaidi na akipata tu mafua anakimbilia Ulaya kwa kodi zenu (hii ni kwa sababu mimi silipi kodi).
Kitu manachotakiwa kujua ni kuwa soko limebadilika. Siku hizi mwajiri sio serikali peke yake, watu ambao ni daring and wenye AKILI kama madaktari wanaweza kufanya chochote wanachotaka. Nasema hivyo kwa vile wakati tunaingia Med School miaka hiyo top cream ya PCB Bongo ilikuwa inatua Muhimbili. Hawa ni watu ambao wakiamua wanafanya lolote including Ungwini na mzagazaga yote. Sasa wakiamua usiwatoe uchawi Mchawi ni Mkwere na serikali yake.
Kuna mfukunyuku mwingine kasema madaktari vilaza wamepasua kichwa badala ya mguu. Medical errors zipo kila mahali duniani. Na daktari mmoja kufanya kosa haina maana madaktari wote ndo wabebe hizo lawama. Mbona sijaona mnatukana maengineer maana majengo yamebomoka au barabara inajengwa huku inabanduka kabla ya mwezi kwisha? Acheni uzandiki.
Degree aliyopewa Mkwere ni yake na Palangyo, wamekubaliana wenyewe mtu na bosi wake sisi haituhusu na kama unataka maoni yangu ningemnyang'anya. By teh way hiyo ni degree ya MUHAS na mimi ni graduate wa MUCHS part ya UD kwa hiyo wala sio chuo changu. Sina vinasaba na PhD feki ya luteni kanali.
Natumaini Kithuku na wenzio mmeelewa. Tutapambana huko huko kwenye faranga maana uwezo, sababu na nia tunayo. Haimake sense kujifanya napasua watu halafu unalipwa hela haitoshi hata mafuta ya gari kwa wiki mbili. Siku mukiona mnaweza lipa tutarudi tu maana ujuzi tunao. Ni mitizamo tu no hard feeling broda.
Yeah... I remember i paid all teh debts za accomodation, bought a few faculty requirements and some really special faculty requirementsWhen old Mate meets! hahahahahahaah