Poor MUHAS!! Lots of shame......Prof Pallangyo.....!!

Jamani kweli huyu ni mkwere lakini ni mTanzania kwanza na sisi hatusemani kwa makabila au!?
 
Seriously...there are people that deserves that kind of recognition but not him!!Wouldn't be surprised if it turned out to be part of a planning to help him get his credibility back...if it's even possible at this point!He is a joke for receiving it knowing he doesn't deserve it...and the people who gave it to him for thinking he did!

Thank you!
 
It is high time they have a name for the honoris causa,manake ukizingatia msoto wa shule ya PhD,halafu mtu anagawiwa tu kwa kumuangalia sura yake?shule inakuwa haina maana tena.Isiitwe degree,iitwe falsafa ya heshima or anything else,puleeeeeze!
 
My props to you rev, if we were in the streets i would have said ''you killed it''! Can't you just see MS, Jeykey and dar-es-salaam aren't here yet to start trolling people with their 'udini' propaganda!
 
I believe this is part of his aides to patch JK's torn reputation.
The likes of Salva may well be behind all this drama.

The reason I consider Nyerere to be the only true leader we have ever had is the fact that he deserved all these decorations yet he chose to be called Mwalimu, what an exemplary father.
 
Huyo Palangyo naye isije ikawa naye ni kati ya wale mprofessa wa muhimbili wenye masters tu (wasiyokuwa na PhD)



 
Huyo Palangyo naye isije ikawa naye ni kati ya wale mprofessa wa muhimbili wenye masters tu (wasiyokuwa na PhD)




Inawezekana.Hivi yule 'mzee wa countercurrent multiplier aka Ntogwi alishakuwa Prof?
 
Zamani sisi tukisoma Mlimani watu wa Muhimbili walituita 'ngwini', jina la utani na dharau likimaanisha watu wanaosoma masomo waliyoyaita 'rahisirahisi' ya novels za Penguin (Actually Penguin walikuwa publishers maarufu wa novel maarufu sana kwa muda mrefu). Wao wakajiona wasomi wa kweli wa masomo 'magumu'. Siku hizi hali imebadilika sana, madaktari wenye degrees zao za ubingwa wanapanga foleni kuomba hizihizi kazi zetu za 'ungwini'. Wengine wamesoma hadi MA za fani tofauti kabisa ili mradi tu wakimbie udaktari wao. Wanaganga njaa! Kwa mtaji huu sioni tofauti kati ya 'udaktari' wa hawa waliokimbilia kwetu kwenye 'ungwini' kuganga njaa, na huo wa JK aliopewa MUHAS maana kati yao hakuna anayemtibu mgonjwa, wote wasanii tu!


Oya babu acha hizo wewe..vijana wanapasua vichwa halafu wewe unawafananisha na ma honoris causa?kwani ni lazima kila aliyesoma medicine afanye kazi hospitali?
 
Did a lot?? Like what?? Singing alone does not mean doing a lot................Some of us it's our first time to hearing this name!!!

Hii ni off topic
Mr Zero ulikuwa umehama nchini Tanzania au ulikuwa bush kwa hivyo hata redio ya mkulima hukuwa nayo kuwa hufahamu mchango wa Juma Kilaza kwenye sanaa ya muziki?
 
Pole sana Masanilo, si kawaida yako kuandika message nedefu kama hiyo, hapa kweli umeudhika!

Wimbo ni uleule...njaa na wanatafuta sehemu ya kutokea, wamejua udhaifu wa mkwere basi wanazigawa....usije ukashangaa na hata vyuo visivyo na hadhi ya PhD wakaanzisha degree ya heshima...kama veta unaweza ukashangaa wanampa mkwere certificate ya heshima ya mapishi..and life goes on

I am excelling there, probably wanaweza wakakosea kunipa -U-VC unazipokonya degree za heshima zote hizi kwa ground hazikuwa qualified enough! hatuna wasomi jamani.....hao akina Shivji wamekalia ufisadi wa kidini tu ..kabakia issue za wapalestina...na kudanganya watu, ndio waliotakiwa waseme no, he is not qualified.
 
Pole sana Masanilo, si kawaida yako kuandika message nedefu kama hiyo, hapa kweli umeudhika!

Wimbo ni uleule...njaa na wanatafuta sehemu ya kutokea, wamejua udhaifu wa mkwere basi wanazigawa....usije ukashangaa na hata vyuo visivyo na hadhi ya PhD wakaanzisha degree ya heshima...kama veta unaweza ukashangaa wanampa mkwere certificate ya heshima ya mapishi..an life goes on

I am excelling there, probably wanaweza wakakosea kunipa -U-VC unazipokonya degree za heshima zote hizi kwa ground hazikuwa qualified enough! hatuna wasomi jamani.....hao akina Shivji wamekalia ufisadi wa kidini tu ..kabakia issue za wapalestina...na kudanganya watu ndio waliotakiwa waseme no, he is not qualified.

Nimekusoma Kaka! tukipata wasomi wenye uzalendo wa kweli ujinga kama huu wa MUHAS utakwisha. Tuna matatizo makubwa 3 sisi kama watanzania, ELIMU, hii inafanya wananchi wengi kuamini siasa za porojo bila kujali ukweli halisia na hii itatupeleka pabaya kwa kuwa wengi tutafuata mkumbo. Hata wale walioelimika bado wako kwenye giza totoro hawasaidii wenzao wasiobahatika kabisa kupata hiyo formal education. UMASIKINI, unatufanya kukosa maamuzi kwa kurubuniwa kwa senti chache na kupewa vyeo vya kisiasa, ndugu zangu wa CCM wanatumia sana hii silaha. Tatu UBINAFSI hasa kwa wale walioelimika kutokutaka kusimama katika kweli kwa maslahi yao bila kujali maslahi ya taifa. Ukimwangalia Pallangyo hapo hana furaha kabisa ila ili awepo inabidi akubaliane na mapendekezo ya akina Makamba kumpa Kikwete hiyo heshima asostahili.

Kweli Mkuu nitakuombea uwe VC siku moja na hii tutaiporomosha, Mfumo tulionao nafasi za juu zote zinawekwa kuzingatia maslahi ya Kiasisa, unajua kabisa Mkadara ni Kada wa CCM na ndie muasisi wa kauli mbiu za Kikwete, Ari, Kasi na nguvu mpya unategemea nini kwenye vyuo vikuu? Arizona wamemfanyia unyambilisi Obama simply hakuna alichoachieve.

Akina Shivji hawawezi furukuta sababu ya mifumo tuliyonayo akiweka uhamasishaji ataambiwa si raia. Unajua hili check yule dogo yuko DC Masasi na yule Msomali wa Nzega amepotea. Ndo maana unaona watu wanaacha taaluma zao na kushabikia wanasiasa.

Masa K
 
Inawezekana.Hivi yule 'mzee wa countercurrent multiplier aka Ntogwi alishakuwa Prof?
Mkuu umenikumbusha mbali sana, Ntogwi hajawa prof, lakini nasikia akina Bakari, Lutale, Maro, na Janabi wa internal medicine (Daktari wa Jakaya) wamekuwa maprof.,
Wana JF udaktari alopewa Jk ni wake yeye na Pallangyo hauna uhusiano na utendaji kazi wa madaktari, naomba msiwaingize madaktari ........waliojitolea kuwasaidia watanzania waliosahauliwa na serikali yao..... katika mgogoro huu. Wapo madaktari wengi tu ambao ni royal na wanafanya kazi zao professionally, waganga njaa wachache wasifanye mkageneralize. Laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi madaktari hawa mngewaonea huruma na ndio maana wengine yakatushinda tuko huku Lesotho, mambo yakiwa mazuri tutarudi nchini.
 
hivi kuwa prof ni lazima uwe na PhD!

sio lazima, is a symbol of wisdom and higher learning, a professor may represent preeminence in some field of endeavor. A professor also symbolizes someone who is conspicuously quiet and serious. Universities in many countries may also bestow famous artists, athletes and foreign dignitaries with the title honorary professor, even if these persons don't have the academic qualifications that normally would be needed for a professorship.
Bu also a professor is a college teacher of the highest rank, hata hivyo definition ya uprofessor varies from country to country, Hivyo sio lazima tu awe na PhD ili awe professor
But also
 
Sasa ana PhD nne na bado

OUT
SUA
MZUMBE
CHUO CHA KIISLAM MORO
CHANG'OMBE
MKWAWA
MLIMANI

Atavunja rekodi muda si mrefu! Nashauri wenye PhD za kweli kutotumia Dr badala yake bana kwenye mabano PhD
 
MUHAS is a waste of time.

Wangecheck Wajawazito wanalala chini pale TEMEKE bila kutoa hii fake Phd kwa Msanii.
I am afraid UDSM/MUHAS sasa ni big joke,vimekuwa politicized kupita kiasi.
 
Phd ingine ya kufaulu uchakachuaji wa Kura 2010! Bravo. Haina tofauti na operation ya kichwa badala ya mguu. Wamempatia kweli kweli!
 
unajua kinachonishangaza anapewa zoote hizi kwa lipi alilolifanya! (UDSM) COET nao watampa kwa kufanya vyema kwenye NISHATI ya umeme!
 
Anaona wale wapambe wake anaowapa uwaziri kwa kuwa na vyeti feki wanaitwa "DR' sasa yeye kwavile hana njia ya kufoji vyeti ndio akabuni hii ya kupata kwa "Heshima" ili asiachwe nyuma kwenye hizi mbio za odokta!!
Huyu jamaa atabaki kuwa Luteni Kanali tu mpaka kufa maana hiyo ndo title yake, hizi doctorates uchwara ni mkakati maalum wa kujaribu kuitafuta ile tuzo ya Mo Ibrahim, aonekane ni mtu aliyefanya mambo makubwa sana kiasi cha kupata mvua za PhD.
 
Back
Top Bottom