pongezi za viongozi wa CCM juu ya ushindi wa Nasari

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
[h=6]January Y. Makamba
[/h][h=6]It's now official: Congrats Chadema and Ndugu Nassari for winning a bitterly fought election. Wana-CCM msife moyo. Jitihada haiondoi kudra.[/h]

[h=6]Nape Nnauye
[/h][h=6]Hongereni watani (Chadema) kwa ushindi Arumeru Mashariki. Ninawapongeza mmeshinda! Ndio kauli ya wana Arumeru Mashariki nasi tunaiheshimu! Fanyeni kazi kutimiza mliyowaahidi wapiga kura. Kila lakheri!![/h]
 
moja ya maneno ya busara kutoka kwa nape!!!hakika ushindi huu umenoa hata bongo zilizolala!!!!
 
Kimsingi nape lazima uwapongeze kwani wanaarumeru wametenda mlotaka yafanyike hongera sitta na kambi yenu.
 
January Y. Makamba


It's now official: Congrats Chadema and Ndugu Nassari for winning a bitterly fought election. Wana-CCM msife moyo. Jitihada haiondoi kudra.



Nape Nnauye


Hongereni watani (Chadema) kwa ushindi Arumeru Mashariki. Ninawapongeza mmeshinda! Ndio kauli ya wana Arumeru Mashariki nasi tunaiheshimu! Fanyeni kazi kutimiza mliyowaahidi wapiga kura. Kila lakheri!!


Chadema sio watani wa CCM, hatuna utani na wezi sisi.
Nape unaposema hongereni watani (Chadema) sijakuelewa, ni lini tumeanza utani na nyie wabakaji wa demokrasia???
Tunatembeza rungu za macho hatuna utani na jambazi sisi.
 
[h=6]Comrade Sambala
[/h][h=6]SALAMU ZANGU KWA WANA TANURI.

HONGERENI WAMERU...
HONGERA CHADEMA...
HONGERA JOSHUA...

Maamuzi ya wanaarumeru yaheshimiwe.

Katika Uchaguzi wowote lazima mshindi apatikane.

Na JOSHUA NASSARI Ndio Mshindi halali aliyetokana na maamuzi ya wengi.

TUMPE USHIRIKIANO KIJANA MWENZETU

USHAURI KWA CHAMA CHANGU CCM, KISIMTAFUTE MCHAWI.

KIJITATHIMINI JUU YA MWENENDO WAKE NA MWENENDO WA VIONGOZI.

ASANTENI SANA.

SIASA NA VYAMA NI NJIA YA KUYAFIKIA MALENGO YA KUIJENGA TANZANIA YENYE NEEMA..
[/h]
 
[h=6]Christopher Magala
[/h][h=6]Hongera wana CHADEMA kwa ushindi mkubwa liopata huko Arumeru na kwenye udiwani huko Mwanza, Kiwira Mbeya na Songea. Nawapongeza pia wana CUF kwa kushinda pale Msambweni Tanga. Wana CCM yatupasa tukae chini tutafakari kulikoni? Tumeteleza wapi, tukibaini tatizo tuje na mkakati wa namna ya kurudisha heshima ya Chama![/h]
 
[h=6]Jumanne Miraji Simba
[/h][h=6]SISI NI CCM KAMA TUMESHINDWA TUJIPANGE UPYA ONGERA WATANI..UMOJA WETU NA UPENDO WETU UTABAKI PALE PALE KEBEI FUJO MATUSI UGOMVI SI MSINGI WA TZ YETU..[/h]
 
Nape kakubali haraka kwa sababu SIONI hakuwa chaguo lake. Na ki ukweli ameshangilia kimoyo moyo kwa SIONI kushinwa. Unafanya mchezo kulazimishwa kumpokea mtu uliyemwita gamba kwa heshima zote
 
  • Write a comment...














[h=6]Kahumbi Lumola Steven
[/h][h=6]Hongera sana Mtanzania mwenzetu kaka JOSHUA kwa ushindi ARUMERU MASHARIKI. Hii inaonyesha ukomavu wa Demokrasia Tanzania. Big up WATANI ZETU WA JADI[/h]
 



  • John Chiligati Asante mabula kwa salamu na hongera kwa ushindi!ktk demokrsia kuna kushinda na kushindwa ni muhimu tuzoee yote mawili! Ccm tumeonyesha mfano wa kukubali kwamba tumeshindwa Arumeru mashariki, vyama vingine vijifunze somo hili japo ni gumu ktk demokrasi changa kama za kwetu! Nakushukuru tena comred mabula kwa kunipa salamu
 
Asanteni watani January na Nape kwa kukubali mapema taratibu wote tutafika kwa amani na sio lazima tuanze kumwaga damu kama ilivyotea mwanza kwa makamanda wa upiganaji kukatwa mapanga.
 
[h=6]Christopher Magala
[/h][h=6]Hongera wana CHADEMA kwa ushindi mkubwa liopata huko Arumeru na kwenye udiwani huko Mwanza, Kiwira Mbeya na Songea. Nawapongeza pia wana CUF kwa kushinda pale Msambweni Tanga. Wana CCM yatupasa tukae chini tutafakari kulikoni? Tumeteleza wapi, tukibaini tatizo tuje na mkakati wa namna ya kurudisha heshima ya Chama![/h]

Christopher,
Chama chenu kilianza kupoteza muelekeo baada ya kuliua Azimio la Arusha na kuanzisha Azimio la Zanzibar. Marehemu Kolimba aliwaambia mkampuuza, mlipofikia leo kujitoa ni kazi ngumu mno maana viongozi mlio nao leo hawana uwezo wala dira. Walio na uwezo wote mmewapaka matope hivyo hamuwezi kuwatumia tena.
 
Back
Top Bottom