Pongezi za dhati wana Arusha na watanzania kwa ujumla

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Wana Arusha wameonyesha ni jinsi gani wamechoshwa na utawala dhalimu wa CCM na kuwa tayari kwa mabidiliko kwa gharama yoyote ile. Shukrani sana kwa kujitokeza kwa wingi kuwasindikiza ndugu zetu(RIP). Mabango mliyoandika yameonyesha hisia zenu na nina amini ujumbe umefika kwa walengwa. Mshikamano daima katika kujikomboa kutoka kwa mafisadi.

Wao wanatumia mabavu sisi tunatumia nguvu ya umma na leo imeonekana kwa jinsi mlivyojitokeza kwa wingi. Shukrani.
 
Back
Top Bottom