Pongezi za dhati kwa Rosemary Mwakitwange.........Kazi nzuri jana

Ninachukua nafasi hii kumpongeza kwa niaba yangu binafsi na ya watanzania wengine ambao wanakubaliana na mitazamo hii.................Keep it up.

Mkuu masahihisho kidogo, hiyo kitu niliyo-bold haijakaa sawa, kwa niaba ni pale unapomuwakilisha mtu mwingine, lakini unapokuwa ni wewe mwenyewe, unasema tu "mimi binafsi".......... then blah blah,..n.k ama "binafsi"........ then blah blah,... n.k

Otherwise tuko pamoja, Big up dada yetu Rosemary Wilfrem Mwakitwange.
 
"kwa niaba yangu binafsi
" - amefanya literal translation ya "on my behalf," na inaeleweka kama ulivyoelewa ingawa ni kweli "mimi binafsi" ni sahihi. Anyway, whatever the case, hongera dada Rose.
 
Huyu dada ni mtoto wa mzeee Mwakitwange yule aliyekuwa na kile chama cha upinzani cha PONA walichoanzisha na Mzee Thomas Nyimbo ambaye anagombea kwa ticket ya chadema kule Njombe baada ya CCM kumuwekea Zengwe! Hivi PONA bado ipo kweli??
 
Watu kama hawa type ya Rose Mwakitwange ndio wa kupewa mashirika yanayochechemea(NIC, NHC) uone changes atakazoleta, rejea akiwa T-MARC, Marie Stopes na New Habari alivyofanya kazi nzuri na sasa kajiajiri tunaona mambo yake yalivyo juu! Tatizo la serikali yetu ya CHICHIEMU ni kupeana ndugu.

All the best Dada Rose!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom