Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

Mimi binafsi sipendi Siasa na wanaSiasa kwa ujumla. Na si mwanachama wa Chama chochote cha SIASA.

CHADEMA Kama Chama ambacho kinanadi Sera ya Ukombozi na Maendeleo inabidi kuangalia upya jinsi inavyochagua Viongozi wake. Asilimia kubwa sana ya hawa Viongozi wanaochaguliwa kwenye matawi huko Ughaibuni ni wa kutoka kaskazini. Ina maana hamna watu wenye uwezo kutoka mikoa mingine?

Hao Viongozi wanaochaguliwa kuna uwezekano mkubwa Kama CHADEMA ikishika madaraka wakapewa VYEO nyeti Serikalini. Je, WATANZANIA tuko tayari kuongozwa na "Wahuni"!?

Nancy namfahamu vizuri sana. Na wadau wengi wanaomjua huyu "Demu" watanielewa nazungumzia nini hapa. Sidhani Kama ana sifa ya kuwa kiongozi katika jamii...let alone Chama.
Tabia zake ziko wazi,sihitaji kuorozesha hapa kila kitu. Ila kwa watu wanaomfahamu wananielewa.

CHADEMA ilikuwa inanipa matumaini,lakini kwa style au Viongozi mnaochagua huko UGHAIBUNI inavunja Moyo sana.

WATANZANIA TUWENI MAKINI SANA. ISIJE IKAWA TUNARUKA KOJO KWENDA KUKANYAGA KINYE.SI.
who are you to judge?
 
kumbe mamako alishafariki ndio maana hauna adabu kwa wamama..ungekuwa na mama au dada usingemkorea adabu huyu dada wa watu.

Nimemsifia unanambia sina adabu? Huyo mbeba maboksi unafikiri ataenda Kempinski bila kupelekwa?
 
ur cute in out image ur option made to dare to say ur gud in mind ur not limit ur feeling keep it up a revolucant lady (iron lady):A S kiss:
 
  • Wajameni kiukweli nimetokea tuu kumpenda huyu dada na nilipoiona hii picha!, nimempenda zaidi kutokana na jinsi anavyojichanganya na watu wa aina zote!. Ukimfikiria ni kiongozi wa Chadema, lakini hapa anampokea 1st Lady wa Tanzania kwa heshima zote kwa sababu huyu pia ndiye 1st Lady wa waTanzania wote wakiwemo wana Chadema!.

jirani yako huyu mumekulia wote mikocheni ya nyerere, nimesumuliwa juu ya hii topic ndio nimeona ulichoandika pia mwenyewe.
 
Mimi binafsi sipendi Siasa na wanaSiasa kwa ujumla. Na si mwanachama wa Chama chochote cha SIASA.

CHADEMA Kama Chama ambacho kinanadi Sera ya Ukombozi na Maendeleo inabidi kuangalia upya jinsi inavyochagua Viongozi wake. Asilimia kubwa sana ya hawa Viongozi wanaochaguliwa kwenye matawi huko Ughaibuni ni wa kutoka kaskazini. Ina maana hamna watu wenye uwezo kutoka mikoa mingine?

Hao Viongozi wanaochaguliwa kuna uwezekano mkubwa Kama CHADEMA ikishika madaraka wakapewa VYEO nyeti Serikalini. Je, WATANZANIA tuko tayari kuongozwa na "Wahuni"!?

Nancy namfahamu vizuri sana. Na wadau wengi wanaomjua huyu "Demu" watanielewa nazungumzia nini hapa. Sidhani Kama ana sifa ya kuwa kiongozi katika jamii...let alone Chama.
Tabia zake ziko wazi,sihitaji kuorozesha hapa kila kitu. Ila kwa watu wanaomfahamu wananielewa.

CHADEMA ilikuwa inanipa matumaini,lakini kwa style au Viongozi mnaochagua huko UGHAIBUNI inavunja Moyo sana.

WATANZANIA TUWENI MAKINI SANA. ISIJE IKAWA TUNARUKA KOJO KWENDA KUKANYAGA KINYE.SI.

Sentence yako ya kwanza inakufanya Muongo, kama hupendi siasa unaweza kumfuatilia mwanasiasa!
 
jirani yako huyu mumekulia wote mikocheni ya nyerere, nimesumuliwa juu ya hii topic ndio nimeona ulichoandika pia mwenyewe.
Mkuu Mbongopopo, nani kakusimulia?, na alikusimulia nini?.
Naomba nikumbushe kuhusu huyu jirani yangu kule kwenye ile miti ya Mikoche, alikuwa anakaa nyumba gani?. Usikute hawa ndio vile vitoto vya geti geli, sasa vimekuwa kuwa tunavishangaa!.

Nataraji kwenda US sometimes this Dec, japo mji alipo haupo kwenye ratiba yangu!, naweza kuamua kwenda hata huko kalipo "kukasalimia!" tuu!, kama "kanasalimilika!".
Pasco
 
Hongera Kamanda wetu, tupo pamoja

attachment.php
 
Hiki chama vipi tena, inakuwaje kila kiongozi wao majina ni yale yale?-Asenga, Mbowe, Lema, mtei, kileo, mushi, munishi, Tarimo.......kwa hiyo akina Lutengano, mwakipesile, chaula, ..mwiko kupata uongozi CDM????
The Chagga Development Manifesto(chadema)

Back
Top Bottom