Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

Kwani akina Shai-Banji, Injia matomato, bondia sofia simba na wengine huwa wanavaaje na huo uongozi waliupataje ??

Husifikiri kila mtu ni sawa na yule horo mamuya ambaye amezoea kupangishiwa chumba karibu na dhaifu ili usiku apite dirishani kwenda kugawiwa maisha bora kwa kila demu...!!

Mibujebuje anaiachia wazi? (Maadili nil "0") halafu kavaa viatu vya winter Hyatt Kilimanjaro (formerly Kempinski) Dar? (umwanjo-mwanjo wa hali ya juu). Maana hiyo picha hapo nnapajuwa fika.

Sasa mtu kama huyo anakuwa kiongozi hicho chama kinakuwaje?
 
Mimi binafsi sipendi Siasa na wanaSiasa kwa ujumla. Na si mwanachama wa Chama chochote cha SIASA.

CHADEMA Kama Chama ambacho kinanadi Sera ya Ukombozi na Maendeleo inabidi kuangalia upya jinsi inavyochagua Viongozi wake. Asilimia kubwa sana ya hawa Viongozi wanaochaguliwa kwenye matawi huko Ughaibuni ni wa kutoka kaskazini. Ina maana hamna watu wenye uwezo kutoka mikoa mingine?

Hao Viongozi wanaochaguliwa kuna uwezekano mkubwa Kama CHADEMA ikishika madaraka wakapewa VYEO nyeti Serikalini. Je, WATANZANIA tuko tayari kuongozwa na "Wahuni"!?

Nancy namfahamu vizuri sana. Na wadau wengi wanaomjua huyu "Demu" watanielewa nazungumzia nini hapa. Sidhani Kama ana sifa ya kuwa kiongozi katika jamii...let alone Chama.
Tabia zake ziko wazi,sihitaji kuorozesha hapa kila kitu. Ila kwa watu wanaomfahamu wananielewa.

CHADEMA ilikuwa inanipa matumaini,lakini kwa style au Viongozi mnaochagua huko UGHAIBUNI inavunja Moyo sana.

WATANZANIA TUWENI MAKINI SANA. ISIJE IKAWA TUNARUKA KOJO KWENDA KUKANYAGA KINYE.SI.
 
Embu tujuzeni Chadema inaendeleaje huko? Mwenyekiti bado mwenyekiti? Nimeambiwa na mdau Nando wa BBA ni mwanae.
 
Hongera mgunduzi wa passport size picha, hii picha haikufaa kabisa kuwekwa hapa kwa kiongozi wa chama cha watu makini. Ndugu wa CDM, mlikuwa mstari wa mbele kumshambulua yule Mwenyekiti wa CCM DMV, leo hii mnaweka picha za Plus size model? shame on you guys
 
Aiseee kumbe Nancy ni Yule mtoto wa jirani yangu mzee assenga, yesu wanguu,
Aisee 2015 tusipochukua nji hii haki ya mama ntahama marangu nihamie kimara aisee nasikia kimara kina masawe ni wengi,
 
Upuuzi mtupu wa vyama hivi vya siasa, badala ya kupigania haki ya walio nje ya nchi kupiga kura wanaanzisha matawi ambayo zaidi ya prestige tu hayana maana yeyote.
 
Mbona kama kamanda nancy ana mustachi? Au ni macho yangu.
 
Mmmh! sasa CDM inapata sura zote za makamanda wa kila fani - hongeara lakini napita tu hapa.
 
Mimi binafsi sipendi Siasa na wanaSiasa kwa ujumla. Na si mwanachama wa Chama chochote cha SIASA.

CHADEMA Kama Chama ambacho kinanadi Sera ya Ukombozi na Maendeleo inabidi kuangalia upya jinsi inavyochagua Viongozi wake. Asilimia kubwa sana ya hawa Viongozi wanaochaguliwa kwenye matawi huko Ughaibuni ni wa kutoka kaskazini. Ina maana hamna watu wenye uwezo kutoka mikoa mingine?

Hao Viongozi wanaochaguliwa kuna uwezekano mkubwa Kama CHADEMA ikishika madaraka wakapewa VYEO nyeti Serikalini. Je, WATANZANIA tuko tayari kuongozwa na "Wahuni"!?

Nancy namfahamu vizuri sana. Na wadau wengi wanaomjua huyu "Demu" watanielewa nazungumzia nini hapa. Sidhani Kama ana sifa ya kuwa kiongozi katika jamii...let alone Chama.
Tabia zake ziko wazi,sihitaji kuorozesha hapa kila kitu. Ila kwa watu wanaomfahamu wananielewa.

CHADEMA ilikuwa inanipa matumaini,lakini kwa style au Viongozi mnaochagua huko UGHAIBUNI inavunja Moyo sana.

WATANZANIA TUWENI MAKINI SANA. ISIJE IKAWA TUNARUKA KOJO KWENDA KUKANYAGA KINYE.SI.

Obviously wewe utakuwa na chama,maana kwa jinsi unavyoponda chadema wewe utakuwa mwana-CCM.Nambie wale wabunge wenu wanaovaa vikuku bungeni wameacha?au unadhani hatujui tabia zao?Je,wale viongozi tuliowachagua ambao mliapa ni wasafi si ndio hawahawa ambao wamewapa uongozi vimada wao ktk nyanja mbalimbali(ushahidi bwerere upo ukiwepo kuzaa nao)za kitaifa na kimataifa?Kwa hiyo kwa jinsi unamkashifu nancy na kujitapa kwamba 'unamfahamu'na hafai kuwa kiongozi ,mie nafikiri ungewasaidia chadema kwa kuleta ushahidi kwa nini Nancy hafai na kuacha hzo propaganda za kitoto!
 
Back
Top Bottom