Pongezi Mkoba na mahakama

Angalien wasiwafutie usajili km madocta! joking jamani! kuna walim wa ajabu hawajagoma et hawajata tangazo la maandishi kutoka cwt. hawafanyi mgomo kupitia taarifa za vyombo vya habar dah tena wengi ni mjini dasilam!
 
Natoa pongezi kwa rais wa CWT kwa msimamo ulioonyesha, unastahili pongezi maana hujaonyesha kutetereka. Aidha pongezi kwa walimu wengi kwa kuitikia mgomo huu kwa kushikamana na kuwa kitu kimoja. Nawalaani baadhi ya walimu wasaliti wachache kwa kutoshiriki mgomo katika siku hii ya kwanza. Mnataka CWT ifanyaje sasa.

Nimepata taarifa kuwa kuna shule chache sana huku Mufindi ambazo hazikushiriki mgomo mojawapo ni shule ya sekondari ya Nyololo, walimu wake walienda shule jambo ambalo linapaswa kulaaniwa na walimu wote. Ukombozi wetu walimu utatokana na juhudi zetu wenyewe.


Nichukue nafasi hii kuishukuru mahakama kuu kitengo cha kazi kwa kusimamia haki hasa katika suala la mgomo huu wa walimu kwa kutokuinterfere HONGERENI SANA KWA KUSIMAMIA HAKI. Kwa vile CWT tumefuata taratibu zote tunaomba tuachieni uwanja na serikali hii dharimu isiyojali utu bali viongozi wamejaa ubinafsi na kutupuuza walimu.

MAPAMBANO YA KUDAI HAKI YANAENDELEA ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Siasa at work_mbona hujatuambia kwann umegoma? Wametumiwa madaktar imeshindikana sasa waalim_kwakwel madaraka na usidini vitawaua
 
Back
Top Bottom