Elections 2010 Pongezi ""michuzi jr"" kwa habari za kweli.mfano wa kuigwa

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Nimekuwa nikitembelea blogs za watu wengi lakini hii ya JIACHIE kidogo inanifanya nitumie muda zaidi na kila mara kupitia kwasababu inaleta habari ambazo ni za ukweli ukilinganisha na blogs zingine zinazo elemea upande umoja wa chama kilichoko madarakani nadhani wanaogopa kusema ukweli kuhusu chama.
uNAPOTOA ELIMU YA URAIA NI VIGUMU SANA KU-ESCAPE SCANDAL ZA UFISADI WA RICHMOND,EPA,MEREMETA NK NK
SO,MISIKITI NA MAKANISA WAMEAMUA KUACHA KUTOA HIYO ELIMU YA URAIA KWASABABU INAONEKANA WANAKISEMA VIBAYA CHAMA MAPINDUZI.

HUU NI MTIZAMOA WANGU
 
Back
Top Bottom