Pongezi makamanda wa mstari wa mbele

Jayfour_King

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
1,135
128
Baada ya kufuatilia kwa siku nzima kutokana na ripota mbalimbali walio mstari wa mbele napenda kutoa pongezi na shukurani zangu za dhati kwa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na makamanda wote wa mistari ya mbele hapa nina maana:
1.Arumeru Mashariki,
2.Kirumba,
3.Lizaboni, na
4.Kiwira
Pongezi sana.

PENDEKEZO:

Ingawa vitani hakuna kupumzika mpaka vita iishe, napendekeza kwamba kama namna ya kutambua mchango wa makamanda wetu hawa baada ya taratibu za kutangazwa rasmi kukamilika ingekuwa vyema wakapatiwa muda wa siku moja ndani ya wiki hii inayo anzia kesho (Jumatatu tarehe 2) ya kupumzika na kupengezwa kwa ushindi huu wa kihistoria.

Naamini sasa kama watanzania tumeanza kuamka na kuuona ukweli na pia elimu ya kulinda kura zetu zisichakachuliwe imeanza kuenea miongoni mwetu.

WITO KWA CHAMA:

Itumie hivyo hivyo vyanzo vichache vya mapato kueneza elimu ya uraia kwa wapiga kura, kwani ni kigezo pekee muhimu kwa wananchi kufahamu haki zao kama raia, hii itasaidia wao kuamua ipi ni pumba na upi na mchele katika siasa za TZ.
 
Mh rais Dr slaa na Mh Mbowe nawaaminia kazi wanayofanya ni kubwa,I see the future!! T 2015 CDM lazima isajiliwe tu.
 
Tuimbe kwa pamoja,

"
i can see clearly now" mara 3.

pepooooooooooooooooooooooooooooooooooooooz!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom