Pongezi kwako Vincent Nyerere!

Sasa MKAPA atakutambua kua wewe ni damu ya
mwl NYERERE alidhani siasa za majitaka wajinga km.......bado
wanaziendekeza....ARUMERU wamaiba kura lakini hazikutosha sijui
wataweka wapi sura zao maana timu nzima ya mafisadi wa CCM na nyimbo
zao ili watu waje kwenye kampeni hazikuzaaa
matunda....
TBC nyie siku zote mlikua
mnaonesha habari za CCM leo vipi mtautangaza huu ushindi wa kishindo?
Badilikeni kwani TBC ni mali ya TAIFA mnazidiwa na STAR TV ambaye
mmiliki wake ni kada wa CCM.......

tuwe fair. ni tbc pekee iliyorusha moja kwa moja msimamizi akimtangaza nassari mshindi.
 
Pongezi za dhati zimwendee Kampeni manager wa chadema Arumeru mashariki ndugu Vincent Kiboko Nyerere kwa kazi nzuri! Mbinu zako hatimaye zimezaa matunda! Viva Chadema!


Ninampongeza vicent Nyerere kwa kazi nzuri aliyofanya peopleeeeeeeeeeeeeeees power
 
CCM walikuwa wanafikiri ukitumia TOT na Bongo flava watawavuta vijana lakini mambo yamebadilika watu wanataka sera na utekelezaji wameahidi miaka 50 ambayo ni sawa na miongo 5 kwa haraka haraka wengi tuliopo hapa jamvin hatuna miaka hiyo bora tuimalize kisiasa tuchague Chama ambacho kinalingana na sisi kwa maana nyingine ccm sio rika letu tuwaachie vikongwe
 
tehetehete sasa jamaa watajificha kwa kuvaa miwani nyeusi heko vicent nyerere tuna kukubali vijana wako
 
ukifika wkt wa ukombozi,mwenyez mungu huwa2ma mashujaa wake...vijana na rika zte 2waunge mkono CHADEMA,ukombozi umefika
 
Sasa MKAPA atakutambua kua wewe ni damu ya mwl NYERERE alidhani siasa za majitaka wajinga km.......bado wanaziendekeza....ARUMERU wamaiba kura lakini hazikutosha sijui wataweka wapi sura zao maana timu nzima ya mafisadi wa CCM na nyimbo zao ili watu waje kwenye kampeni hazikuzaaa matunda....TBC nyie siku zote mlikua mnaonesha habari za CCM leo vipi mtautangaza huu ushindi wa kishindo? Badilikeni kwani TBC ni mali ya TAIFA mnazidiwa na STAR TV ambaye mmiliki wake ni kada wa CCM.......

Leo nilikutana na mmiliki wa STAR tv na RFA lunch hour pale serena dsm. Tulisalimiana na nikamshukuru kwa radio yake rfa kutupatia updates za matokeo ya uchaguzi arumeru mashariki mpaka saa za usiku wakati tbc fm hata tbc taifa walikuwa hawafanyi hivyo. Pamoja na kwamba alielewa nafurahia ushindi wa cdm alinipa jibu la kiungwana siwezi kumlaumu
 
sina shaka na kazi ya makamanda wangu wa cdm.tunakupongeza sana kamanda wetu Vicent kwa kuvmilia mikimiki yote na vitisho vyote hatimaye kazi imeonekana lakin pia tutambue kwamba tunawahtaji viongoz wote wa chadema kufika mpaka vjijini ndani ili kuwafungua macho watanzania wasiopata habari za nchi hii kwa kutumia chopa mafuta tutachangia.
A%20S%2039.gif
 
Wakuu ushindi wa M4C umechangiwa kwa kiasi kikubwa pia na waheshimiwa wafuatao
Kamanda Lema, mlimuona jinsi alivyokuwa jirani na msimamizi wa uchaguzi wakati wa kutangaza matokeo. Inaonyesha Kamanda pamoja na kuambiwa kuwa Washili watamuua, lakini alipiga kazi ya ukweli kumsaidia Nassari bila hata kujali kuwa ana kesi inayoweza kumvua ubunge wiki hii. Big Up Mh. lema

Pia upande wa CCM, namshukuru sana Nape na Wassira kwa kuachangia ushindi wa CHADEMA. Nape alimpinga Sioi tokea mwanzo japo mafisadi walimzidi nguvu.Wassira yeye pamoja na kumpinga Sioi, alikwenda mbali zaidi kwa kwenda kupiga kampeni za matusi na kashfa ili wananchi waione CCM kama chama kisicho na maadili.

Edward Lowasa nae amechangia kuiua CCM at the same time akiisaidia CHADEMA kwa kitendo chake cha kuwahonga wajumbe ili wampitishe Mkwe wake kwenye kura za maoni na akaharibu kabisa pale alipokuja jukwaani kupiga kampeni kwa ajili ya Sioi. Anajua kuwa Watanzania wanajua kuwa yeye ndo aliyeshiriki kuiua CCM kwa ufisadi wake na wenzie, na kitendo cha kwenda kwenye kampeni ni dalili tosha kuwa aliamua kuisaidia M4C bila kujua huku akiiua CCM. Thanx EL
 
Back
Top Bottom