Pongezi kwako Vincent Nyerere!

Wow JEMBE VICENT Nyerere kwa kushirikiana na wenzio vyema katika kufanikisha ushindi wa chama. Hakika sasa baada ya ushindi huu, tulia na ulete maendeleo ya msingi jimboni kwako MUSOMA. HONGERA BRO:yo::smile-big::smile-big::rockon:
 
Hongera viongozi wa chadema,hongera mgombea wa chadema mheshimiwa joshua nasari,hongera makampeign maneja wa chadema,hongera msimamizi wa uchaguzi,hongera wananchi wa jimbo la arumeru. Nyote mlishiriki kikamilifu ndo maana kazi hii imekamilika kikamilifu tena bila kusababisha umwagikaji damu.sasa tuwatumikie wananchi kwa nguvu zote.mungu ibariki tz
 
Nyerere Katupiga afu kubwa sana, kwanza na uhakika BWM hatarudi tene kufungua/kufunga kampeni yeyote ya CCM....

Hakika ni mtu wa muhimu sana katika ushindi tuliopata....
 
Nyerere Katupiga afu kubwa sana, kwanza na uhakika BWM hatarudi tene kufungua/kufunga kampeni yeyote ya CCM....

Hakika ni mtu wa muhimu sana katika ushindi tuliopata....

Huyu nae anajitakia kifo cha presha, nashauri afuate nyayo za mzee mwenzake Kingunge. Wakati si wake huu!
 
Hongera sana Vicent Kiboko Nyerere binafsi nilipata kusikiliza campain zako wkt wa uchaguzi mkuu Msoma mjini,hakika kwa sasa nakiri kuwa wewe ni mtaji mkubwa sana wa kisiasa Cdm,
sasa mzee mkapa ataheshimu vijana na sasa ni wakati wake wa kuondoka jumla na kuachana na siasa za kiuendawazimu za ccm kwa heshima ya uzee wake,

Kweli kamanda umesema kweli vicent ni jembe tena kama baba wa taifa.kwa mara ya kwanza naweza kusema CHADEMA wameweza kufanya kampeni za hali ya juu sana nilipata nafasi ya kwenda kwenya kampeni zao zilikuwa zinatia moyo.Haswa Mzee wa ANGA KAMANDA MBOWE muda wote alikuwa anatoa hotuba ya Amani akiwaasa wafuasi wa chadema wasinyanyue silaa yeyote.Alisema WAMEANZA NA MUNGU NA WATAMALIZA NA MUNGU.
 
Mkuu Gagu...
Hapa Musoma barabara zote sasa zinapitika na madaraja yanajengwa kwa kasi ya ajabu

Tunangoja phase two ya kuunganisha maji katika sehemu zisizo na maji sasa..

Mstahiki Meya Kisurura na madiwani wa CDM wanafanya kazi kubwa sana hapa na kwa kweli ni mfano wa kuigwa, kwani mpaka sasa mitaro inajengwa katika kiwango cha kuridhisha na kwa kweli kazi ya siasa sasa inafanywa na BAVICHA wakati madiwani wakijikita katika shughuli za maendeleo.

Nyerere ni kijana genius ila si kama GeniusBrain wa JF.

Big up V. Nyerere na CDM:A S 39:
Nilipenda strategy ya Mbunge Nyerere ya kumleta Meya wa Musoma Mjini aje kuwashuhudia maendeleo yaliyofikiwa na wanamsoma kwa kuichagua Chadema! Jamaa kweli SURURU!
 
Mkuu Gagu...
Hapa Musoma barabara zote sasa zinapitika na madaraja yanajengwa kwa kasi ya ajabu

Tunangoja phase two ya kuunganisha maji katika sehemu zisizo na maji sasa..

Mstahiki Meya Kisurura na madiwani wa CDM wanafanya kazi kubwa sana hapa na kwa kweli ni mfano wa kuigwa, kwani mpaka sasa mitaro inajengwa katika kiwango cha kuridhisha na kwa kweli kazi ya siasa sasa inafanywa na BAVICHA wakati madiwani wakijikita katika shughuli za maendeleo.

Nyerere ni kijana genius ila si kama GeniusBrain wa JF.

Big up V. Nyerere na CDM:A S 39:

Mkuu hebu nijulishe hali ilivyo kule kwetu majengo mapya/Kariakoo/bweri. Kule mvua ikinyesha dah! Kama gharika la Nuhu!
 
Keep it up Kamanda VKN pamoja na Mch I. Natse bila kuwasahau viongozi wote wa CDM Taifa na Mkoa. Kazi, ustadi na mchango wenu kwenye uchaguzi huu tunauthamin na tumeukubali.
Shukran za kipekee ziwaendee Wanaarumeru kwa kuchagua mabadiliko. Sasa wananchi wameanza kuelewa nguvu waliyonayo
 
"Kumchagua Nassari ni kufikisha ujumbe kwa watawala kuwa wana-Arumeru wamechoshwa na utawala mbovu wa serikali ya CCM" by Vicent Nyerere.
Kilichotokea Kule Arumeru ni mwanzo wa "MWISHO WA ENZI ZA KI-CCM". watanzania wameelewa mbinu zenu za kitoto za kupoka ushindi kiujanja ujanja, na kujaribu kuigeuza Tanzania nchi ya Kisultani!Mnataka kurithishana hata utumishi wa Umma! Wanaume WAMEKAZA MSULI! Kumbukeni "ALWAYS IS NOT FOREVER"! Ilikuwa hivyo enzi zenu, si sasa! Bravoo Vincent na Crew yako nzima ya ushindi!
 
Back
Top Bottom