Pongezi kwa Mkandarasi barabara Moro-Iringa

Mkuu ni iyovi kuja iringa town sio mikumi!Jamaa wako vizuri na hata gharama zao ziko juu bse kwa km moja wanatumia atleast a billion wakati mchina wa iringa to mtera anatumia 700mil/kmBig up sana twangoja mkeka wa iringa to mafingaNb:hawa jamaa ndo walijenga chalinze to moro huwa hawabahatishi JV aarself interbetonNa kuna package wanajenga kule sumbwanga.I wish wangepewa nchi nziman
Mkuu acha urongo. Barabara ya Mtera-Iringa kwa miaka 12 sasa bado wanafanya upembuzi yakinifu
 
Mkuu acha urongo. Barabara ya Mtera-Iringa kwa miaka 12 sasa bado wanafanya upembuzi yakinifu
Hapana,njowepo hajadanganya,kazi imeshaanza kipande cha iringa-mtera na mkandarasi ni mchina aliyeweka kambi eneo la mwembe togwa nje kidogo ya mji wa iringa.Sio mpaka uone bull dozer,graders,excavator na wheel loaders ndo ujue kazi ishaanza,survey lazima ifanyike kabla ya yote.Kwa mfano interbeton&aarsleff wenzetu wako kule ule iyovi wanamalizia kipande cha section 1,sisi tulishaanza kufanya survey ya section 4 i.e(iringa-mafinga) tangu mwezi wa 12 mwaka jana(2010).
 
Back
Top Bottom