Pongezi Chadema kuvuka kikwazo hiki

Ramso5

Member
Dec 13, 2011
63
8
Baada ya CHADEMA kunyakua viti vingi vya ubunge ktk uchaguzi uliopita na kuonekana kuwa tishio kwa CCM.

Mkakati ulipangwa kuwanyamazisha wabunge wa CHADEMA bungeni kwa kuwabana kwa 'miongozo ya spika'kutoka kwa Lukuvi na wengine ili kuwamaliza nguvu jambo ambalo hatukuzoea kuliona ktk bunge la mh Sitta.

Baada ya CCM kuanzisha na wengine kujibu mapigo na kuonekana sasa ni kero,hatimaye jioni ya leo spika wa bunge amefunguka na kukemea tabia ya wabunge kuomba miongozo na kusema kuwa kanuni haziruhusu na amewasifu sana wabunge leo kwa kutoomba mwongozo hata mmoja.
 
AAAH UYU BIBI SI MZURI KUMFANYIA REFERENCE, KESHATUARIBIA SANA BUNGE LETU, AU WABUNGE MACHACHARI AKA MAJEMBe LEO HAWAKUUDHURIA????
 
Anajikosha tu huyu mmama hana kitu ni kibaraka wa mafisadi na serikali dhaifu
 
Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.
 
Jamani kuleta mambo ya CCM na Kiroboto humu jamvini na tunaswaumu zetu mimi mtanifanya nianze kunywa Pombe na Ramadhani yenyewe basi. Kichefuchefuuuuuuuu
 
Baada ya chadema kunyakua viti vingi vya ubunge ktk uchaguzi uliopita na kuonekana kuwa tishio kwa ccm.Mkakati ulipangwa kuwanyamazisha wabunge wa cdm bungeni kwa kuwabana kwa 'miongozo ya spika'kutoka kwa Lukuvi na wengine ili kuwamaliza nguvu jambo ambalo hatukuzoea kuliona ktk bunge la mh Sitta.Baada ya ccm kuanzisha na wengine kujibu mapigo na kuonekana sasa ni kero,hatimaye jioni ya leo spika wa bunge amefunguka na kukemea tabia ya wabunge kuomba miongozo na kusema kuwa kanuni haziruhusu na amewasifu sana wabunge leo kwa kutoomba mwongozo hata mmoja.

Mkuu hiki si kikwazo bali nichangamoto zinazolikabili bunge letu,na hii inatokana na ushabiki wakivyama na hii inaonyesha nijinsi gani baadhi ya wabunge wetu wameweka maslai ya vyama vyao mbele na si maslai ya watanganyika.mimi binafsi nitasema CDM imevuka kikwazo siku itakapo kamilisha safari ya kuelekea MAGOGONI
 
Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.
Mbunge 1 CDM = CCM 20 jibu sahihi ni 23 X 20 =460 wabunge wa CDM ni wengi wamezidi hata idadi ya wabunge na ndo maana kila kukicha ni CDM tu iwe bungeni, kwenye mbio za mwenge, UWT,TISS Nk. sababu ni wengi kuliko ujuavyo.
 
Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.

mkuu kwanza hapo umekosea idadi na pia ujiulize kabla ya hapo walikuwa wana wabunge wangapi 2005? na sasa wamepiga hatua au hilo waza mwenyewe na je unafikiri 2015 watakuwa wana wabunge wangapi? hili linajiriidhisha kabisa viti vitakuwa sio ya 120 na bado vile vya wakina mama chezea kabisa bunge la january 2016 utajuta kuijua Tanganyika ambapo tulivyokuwa tumefumbwa macho kama vipofu ilingali tunaona mtaduwa haaa kumbe ndio hivi,,,,, magamba kipindi hicho kwishney,,,,,,
 
Baada ya CHADEMA kunyakua viti vingi vya ubunge ktk uchaguzi uliopita na kuonekana kuwa tishio kwa CCM.

Mkakati ulipangwa kuwanyamazisha wabunge wa CHADEMA bungeni kwa kuwabana kwa 'miongozo ya spika'kutoka kwa Lukuvi na wengine ili kuwamaliza nguvu jambo ambalo hatukuzoea kuliona ktk bunge la mh Sitta.

Baada ya CCM kuanzisha na wengine kujibu mapigo na kuonekana sasa ni kero,hatimaye jioni ya leo spika wa bunge amefunguka na kukemea tabia ya wabunge kuomba miongozo na kusema kuwa kanuni haziruhusu na amewasifu sana wabunge leo kwa kutoomba mwongozo hata mmoja.

Huoni hata haya kusema chadema ina wabunge wengi?

Mijitu mingine sijui haioni?
 
Huoni hata haya kusema chadema ina wabunge wengi?

Mijitu mingine sijui haioni?

Mie nawambia Chadema wana wabunge 23 wanakataa lakini hawasemi wanao wangapi...watakutajia kina Rose Kamili watakuambie nao ni wabunge.
 
Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.

Kwani mwalimu wako wa hesabu alikuambia wingi unaanzia ngapi?
Na kwa akili yako matope umeshajiuliza kwanini Chadema imeweza kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
 
Huoni hata haya kusema chadema ina wabunge wengi?

Mijitu mingine sijui haioni?
Nyingi huanza na mbili. Angekosea kama angesema ina wabunge wengi kuizidi ccm. Lakini huenda yuko sahihi, cdm ina wabunge wengi WAKATOLIKI
 
Huoni hata haya kusema chadema ina wabunge wengi?

Mijitu mingine sijui haioni?

Presha presha presha ya ninii!? mbona zomba hujiaminii!???, zamani ilikuwa vyama vya upinzani vinajitahidi viwe kama ccm,leo ccm inajitahdi iwe kama CDM!, ngondo igwa!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom