PONDA mbioni kuachiwa

Status
Not open for further replies.
Mi naona akiwa ndani (jela) anakuwa safe zaidi kuliko akiwa huru mitaani, kwa hiyo msishadadie sana kutoka kwake. Nyie mmesahau vitu vyenye ncha kali nini?
 
Sometimes is not fair kuilaumu CCM kwa umaskini uliotamalaki hapa Tanzania kama nchi hii ndio imeacommodate watu wajinga kama wewe, wewe ni mfu ungali hai.

Unaubia na Mnyika nini? mbona umekasirika hivyo kusikia Ponda anataka kugombea jimbo hilo? wacha uoga mwambie Mnyika ajitayarishe kukabidhi ofisi Ponda huyooo yuaja!!!!
 
:nimekataaSheikh Ponda Issa Ponda, mimi na muangalia kwa jicho la kipekee sana tofauti na vile alivyochorwa na vyombo vya habari na serikali kwa ujumla..nguvu yake ya ushawishi ni kubwa mno kuliko tunavyodhania tulivyo wengi. Labda nimtoe wasiwasi mjumbe mmoja alietangulia kusema,"Ponda sisimizi tu hawezi vieka vyombo vyote vya usalama busy kiasi hicho..." si vyombo vya usalama tu bali nchi yote kwa ujumla, tuache kejeli na dhihaka katika masuala mazito kama haya. Labda nikupeni mfano wa kariakoo; yale maandamano ya watu wanaoitwa wachache tu ndio yaliosababisha serikali kutumia nguvu kubwa kuyatuliza wakiwemo Mgambo wa jiji, polisi wa kawaida, polisi kanzu, kikosi cha kutuliza ghasia na hata tuliona JWT wakienda kuimarisha ulinzi labda unaweza kuona ni jinsi gani ana nguvu ya ushawishi japo yu mahabusu.

Sheikh Ponda, ni mwanaharakati wa kiislam na anaathiriwa na misingi ya imani na mafundisho yake katika maisha yake ya kila siku, ikiwemo kutembea, kuzungumza na hata anapoona vitu haviendi sawa anajukumu la kulikemea kama vile anavyoelekezwa na Misingi ya imani yake...hivyo mimi sioni kama kunahaja ya kumlaumu; Mathalani kiongozi yeyote wa imani ya Kikristo anapoongea na waumini wake ananamna anavyokua anaathiriwa na imani yake katika kukemea maovu kulingana na misingi ya imani yake kwamba Ukipigwa kofi kulia mgeuzie kushoto kama masihi alivyofundisha bi maana ukiona ovu muachie Mungu ndo anajua atahukumu vipi, Hali kadhalika kwa Sheikh Ponda anaelekezwa na kiigizo chema chake na waislam wote(Mtume (s.a.w)) ambae ni mwalimu wa walimu kwamba usikubali kudhulumiwa ama kudhulumu mana ni uovu, na unapoliona ovu basi litowe kwa mikono yako(Sheikh Ponda kwenye nchi isiyo na dini hana mamlaka hayo na nisingependa ifikie hapo mana hatutopata hata muda wa kupashana habari na kuelimishana kama ivi ila ana njia mbadala), ama kama ukishindwa likemee(Ndio maana kila siku unamsikia akikemea kwa nguvu zote maovu yote) na akishindwa kabisaaaaaaaaaaa basi achukie(ambapo ni udhaifu wa imani). Kwa nukta hiyo basi, hata akitoka huko gerezani bado ataendelea na msingi uleule wa imani yake na hakuna wa kumsimamisha isipokuwa ni Muumba anaemuamini, labda kwa faida mana huenda wengine hamkuwa mmezaliwa Sheikh Ponda alisha kaa nje ya nchi kwa vikwazo nayo ilikua ni kwa kazi yake hii hii na hata aliporudi hakuna aliemstopisha bado aliendelea kukemea maovu.

Labda nimalize kwa kusema kinachotakikana hapa nchini ni kutambua wapi mmetofautiana kiimani na kuheshimiana kiimani na si kuvumiliana mana unapovumilia kitu inafika mahali unaudhika ambapo huwezi vumilia tena. Sisi tuwe mabalozi huko mitaani mwetu juu ya kuheshimu misingi na matukufu ya imani nyingine ili mmomonyoko wa maadili ambao vijana wasasa wanao ukome. Pili, media zetu zijitahidi kusema kweli pale wanaporipoti habari na kujaribu ku-balance hizo habari ili isije ikawa ni chanzo cha vurugu. Tatu, serikali iache kupuuza malalamiko ya jammii hii ya waislam hapa tanzania ili ile Psychologia ya kushindwa walionayo waumini wengi wa jammii hii na kujiona wao kama 2nd class ikome. Naomba kuwakilisha x x x x:shut-mouth:

Malalamiko mengi ya waislam hayana maana .hata pakistan nchi ya waislam tupu lakini wanalipuana mabomu kila siku. Eti uislam ni dini ya amani ninamashaka.
 
habari zipi za kiinteligensia, wakati wote tunajua kwamba alirejeshwa rumande na ilishasemwa toka kwamba ataachiwa tarehe 01 November 2012 kwa dhamana
 
:nimekataaSheikh Ponda Issa Ponda, mimi na muangalia kwa jicho la kipekee sana tofauti na vile
Sheikh Ponda, ni mwanaharakati wa kiislam na anaathiriwa na misingi ya imani na mafundisho yake katika maisha yake ya kila siku, ikiwemo kutembea, kuzungumza na hata anapoona vitu haviendi sawa anajukumu la kulikemea kama vile anavyoelekezwa na Misingi ya imani yake...hivyo mimi sioni kama kunahaja ya kumlaumu; Mathalani kiongozi yeyote wa imani ya Kikristo anapoongea na waumini wake ananamna anavyokua anaathiriwa na imani yake katika kukemea maovu kulingana na misingi ya imani yake kwamba Ukipigwa kofi kulia mgeuzie kushoto kama masihi alivyofundisha bi maana ukiona ovu muachie Mungu ndo anajua atahukumu vipi, Hali kadhalika kwa Sheikh Ponda anaelekezwa na kiigizo chema chake na waislam wote(Mtume (s.a.w)) ambae ni mwalimu wa walimu kwamba usikubali kudhulumiwa ama kudhulumu mana ni uovu, na unapoliona ovu basi litowe kwa mikono yako(Sheikh Ponda kwenye nchi isiyo na dini hana mamlaka hayo na nisingependa ifikie hapo mana hatutopata hata muda wa kupashana habari na waislam hapa tanzania ili ile Psychologia ya kushindwa walionayo waumini wengi wa jammii hii na kujiona wao kama 2nd class ikome. Naomba kuwakilisha x x x x:shut-mouth:

Mkuu waislam hawahitaji mtu kama ponda kufanya wanayofanya,hata teja akikaa front akajitambulisha kuwa ni muislam na akawaambia twende tukachome makanisa ama twende ikulu wanaenda...
 
Unaubia na Mnyika nini? mbona umekasirika hivyo kusikia Ponda anataka kugombea jimbo hilo? wacha uoga mwambie Mnyika ajitayarishe kukabidhi ofisi Ponda huyooo yuaja!!!!
Swala hapa sio ubia na Mnyika, swala hapa ni uwezo wa Ponda ambaye hata kuandika jina lake hawezi! ni wapuuzi kama wewe wanaodhani kuwa Ponda anaweza kuwa mbunge ati kwa sababu ni muislam na anauwezo wa kusimama jukwaani kushawishi watu kwa kuporomosha mitusi dhidi ya watu wa imani nyingine. Kadogoo, nchi hii tunazidi kuwa hatuna maana kwa sababu badala ya kutumia sayansi na teknolojia kujiletea maendeleo, tunataka kushinda tunabwabwaja majukwaani kama vichaa tukihubiri kuwa Yesu sio mungu na mbaya wa waislam wa Tanzania ni Nyerere! huo ndio upumbavu utakao mfanya mtu yeyote mwenye akili timamu asifikirie kumpendekeza kichaa Ponda kuwa mbunge!
 
Acheni upuuuuuuuuuzi nyinyi...mnaongelea mawazo..ongeleeeni facts..tupe source ...nenda kafanye kazi wewe..!!!!ushawahi mwona mwarabu na mhindi wanaandamana...??????????????/:glasses-nerdy:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom