Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Hili jamaa na chama chake si ndio wafadhili wa Radio na imaan na gazeti Al-nuur.

Poor you na ama hawezi kuwa Rais wa Tz may be hii nchi iwe inaongozwa na sharia.

Tatizo mnaendekeza udini n am sure utawatafuna

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
haijawahi kutokea chadema wakazungumzia utaifa,wao huwa wanaangalia zaidi uchaga na kanisa.hii mbegu ilipandwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2010 ambapo walikuwa wanawatenga waumini wa kanisa waliokuwa wanaunga mkono ccm mfano sumbawanga

Kwa hiyo unahalalisha kwamba mwaka 2010Kikwete hakupata kura hata moja ya mkristo Tanzania na hivyo hivyo 2005. Kwa mantiki hiyo ni Rais wa Waislamu?

Maneno yako yanakosa hekima na busara. Hufai hata kuwa jirani ya mkristo, kusoma darasa moja na mkristo au kufanya kazi ofisi moja na mkristo kwa mawazo yako hayo.
 
Kosa analoshitakiwa nalo Sheikh Ponda kisheria linastahili dhamana!? Kama kosa alilolifanya linastahili dhamana basi apewe na kama hastahili basi Lipumba amekosea!! Hapa tukitumia hisia tu yatatukuta kama yale ya kwenye ile kesi ya Zombe na wenzake.
 
Nimekuwa najiuliza kwa nini Rais anapokuwa mwisilamu nchi hii, waisilamu wanapata nguvu za ajabu kuutukana ukristo hata kuliko nguvu wanayoelekeza kumtukana shetani.

Nchi hii ilibarikiwa sana tulipokuwa tunachagua Rais bila kujali udini.
 
jaji Mkuu ni Mwislamu kwa upande wa kisheria.

IPG ni mwislamu kwa upande wa kumkamata ponda.

Rais Ni mwislamu.

Lakini bado wanasema ukristo ndio unahusika na jambo hilo? mmmmmmh

Waislamu hata ukiwapa vyombo vya maamuzi na madaraka bado watasema ukristo wakati maamuzi yako juu yao kwa ngazi za madaraka.
 
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.

Source:Mwananchi.
Lipumba na waislam wengi tu humu wamesema Ponda ni kiongozi wa Waislam. Lakini kuna waislam wengine wana mtazamo huu...

quote_icon.png
By Mkandara

Mkuu wangu wewe umeambiwa vipi kuhusu uchomaji moto wa makanisa Mbagala?.. Unaona sasa jinsi mlivyokuwa misinformed na vyombo vya habari kiasi kwamba hamtaki hata kuujua ukweli?..

1. Waliochoma makanisa ya Mbagala ni wahuni wa Mbagala ambao wanasakwa na wanaendelea kukamatwa. Hatujui hadi leo wamekamatwa wangapi na kesi yao hatujui itakuwa lini na kina nani viongozi wao na wanahusika. Na pengine ndio limetoka - Upepo wa kupita hili muulize Kova vizuri..

2. Swala la Ponda linahusiana na kesi ya kiwanja kilichopo Chang'ombe ambacho waislaam walienda kule kusali Ijumaa ile ile ya siku ya machafuko ya Mbagala. Inasemekana waliiba hadi vifaa vya ujenzi vya mwenye kiwanja. Watu 50 walikamatwa na kingozi wao ndiye alikuwa Ponda, hivyo Sheikh Ponda alitafutwa na kukamatwa kutokana na kesi ya Chang'ombe pamoja na swala la kuhamasisha waislaam wasipige kura ikaitwa kuvuruga amani. Ponda hahusiki na Mbagala na nimesema sana humu lakini hamtaki kuelewa kwa sababu tayari mmeisha weka maamuzi yenu juu ya Ponda ambaye wala sii kiongozi wa Waislaam bali ni mwalimu wa dini.
Last edited by Mkandara; 24th October 2012 at 17:52.
Full kijichanganya...
 
Mkuu swala hili liko mahakamani sio vizuri kulizungumzia...tuiachie mahakama

Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.

Source:Mwananchi.
 
unataka kusema Maalihaj nao wanaeneza dini??? Alhaj Ally Hassan mwinyi, Alhaji Shein , Alhaj Yusuf makamba.

Sheikh Ponda na farid wanaelneza dini?

Tujenge hoja hizi propaganda hazisaidii nchi yetu. Katiba haijazuia mchungaji wala sheikh kuwa mwanasiasa kama hilo halitakiwi kwa nini tusiweke kwenye katiba?

achana na uyo mbulula
 
Nimekuwa najiuliza kwa nini Rais anapokuwa mwisilamu nchi hii, waisilamu wanapata nguvu za ajabu kuutukana ukristo hata kuliko nguvu wanayoelekeza kumtukana shetani.

Nchi hii ilibarikiwa sana tulipokuwa tunachagua Rais bila kujali udini.

Katika Historia ya nchi hii hakuna Rais aliye ua raia wake kama Mkatoliki Benjamin Mkapa!!! rejea mauaji ya Mwembechai 1998 na Mauaji ya halaiki huko Visiwani 2001!! utawala wa Rais huyu ulihusika kwa mauaji hayo na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwa askari na viongozi waliotoa amri ya kuua raia! tena baya hata hakuna uchunguzi uliofanyika wa kutafuta chanzo cha mauaji hayo!!

Utawala huo ulijinadi kwa ukweli na uwazi! na hakuna mkristo hata mmoja anaekubali kuwa Mkapa aliua wananchi na anastahiki kupelekwa the hague kwa mashtaka!!!
 
kama ilivyo kwa chadema ambapo kumejaa wachungaji na maaskofu na watoto wa wachungaji,angalia mchungaji msigwa,mchungaji israel natse,padre slaa na mtoto wa mchungaji joshua nasari

wewe kama jna lako hamnazo!
 
Kama haya ndiyo mawazo ya profesa na sisi ambao tuliogopa umande tutakuwa na yapi?

Commonsense is not a gift it is a punishment because you have to deal with anyone who doesn't have it
 
ponda na kundi lake wanashindwa kuheshimu imani za watu wengine lazima ashughulikiwe gaidi hilo
kuna watu huku hawajui wanalo andika ponda hakushitakiwa kwasababu ya vurugu za mbagala musivamie kitu kabla ya kukisoma nakukielewa mbona chama lenu la kikristo kuna magaidi wa kichaga sisi hatusemi na lile gaidi la kimbulu mbola hulizungumzii
 
Katika Historia ya nchi hii hakuna Rais aliye ua raia wake kama Mkatoliki Benjamin Mkapa!!! rejea mauaji ya Mwembechai 1998 na Mauaji ya halaiki huko Visiwani 2001!! utawala wa Rais huyu ulihusika kwa mauaji hayo na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwa askari na viongozi waliotoa amri ya kuua raia! tena baya hata hakuna uchunguzi uliofanyika wa kutafuta chanzo cha mauaji hayo!!

Utawala huo ulijinadi kwa ukweli na uwazi! na hakuna mkristo hata mmoja anaekubali kuwa Mkapa aliua wananchi na anastahiki kupelekwa the hague kwa mashtaka!!!

Kama ana kesi ya kujibu haihusiani na dini yake bali inahusiana na Ukuu wa nchi ( rais).

Sheria za zanzibar kikatiba zinajitosheleza kutatua baadhi ya hoja zako haiitaji kusubiri Rais wa Muungano.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom