Pombe

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Leo ni furahidei na kama kawaida kuna watu wanaojali kazi saana leo ndio siku yao yakuanza kukamata chupa, pombe ni mojawapo ya bidhaa maarufu inayoingizia taifa kipato kwani kila anywae hukatwa kodi.

Hakuna kabila ambalo halina pombe yake ya kienyeji na hata kwenye mahari kuna kipengele cha kulipia pombe, Nitajieni aina za pombe kwenye kabila lenu na pombe inaitwaje kikwenu (native languaje) Weekend njema na VALENTINE.
 
mhh upo mrembo?
wanipa huzuni,
nikununulie beer?


Nipo Mhe. Boss nimejaa tele
Huzuni ya nini tena?? Nimekufanyaje kwani?? Mi sipendi uhuzunike si unajua......Au kwa sababu nakunywa GONGO?? Beer iko poa pia nitashukuru.
 
Nipo Mhe. Boss nimejaa tele
Huzuni ya nini tena?? Nimekufanyaje kwani?? Mi sipendi uhuzunike si unajua......Au kwa sababu nakunywa GONGO?? Beer iko poa pia nitashukuru.

ili usinywe gongo
nikuwekee oda ya kreti ngapi
za bia kwa wiki?????
ngoja nije pm huko...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom