Pombe si Chai, Aibu! Aibu! Aibu!

mh watu wa mgomba wanafanya zaidi ya hapo man kuna jamaa juzi alipiga kijiti akaanza kuchimba kaburi ndani ya nyumba yao baba yake alishangaa sana kumuuliza akamwambia nataka nikuue then nikuzike hapa!!alipomaliza kuchimba akaongeza kuchimba mengine kama 4 hv kila room!mgomba noma!
huwezi kukuta mtu anaetumia mjani AKA kijiti anafanya mambo a aibu namna hii.....
 
KATIKA kuonyesha kuwa mmomonyoko wa maadili unashika kasi kila kukicha nchini Tanzania, wapenzi wawili jana wameonekana wakifanya mapenzi hadharani kwa kuzidiwa na pombe kupita kiasi huko maeneo ya Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam.
Wapenzi hao ambao walizidiwa na pombe walijikuta wakifanya mapenzi hadharani kwenye majani yaliyokuwa yameota katika moja ya njia ya maeneo hayo.

Tukio hilo lililoshangaza wapita njia waliowengi lilikuwa likifanyika majira ya saa 3 usiku eneo hilo.

Tukio hilo lilikuwa ni la aibu na la kusikitisha kwa kuonekana wapenzi hao wakiwa wamelala michangani wakiendelea na vitendo vya kimapenzi hadharani bila hata chembe ya aibu.

Kutokana na tukio hilo ambalo lilizua tafrani maeneo hayo hasa kwa wale wastaarabu baadhi ya wapita njia walionekana na mtandao huu waliokuwa wakihitaji kupita njia hiyo wakiwa na watoto wao walilazimika kukimbia huku wengine wakilazimika kubadilisha njia ili kunusuru watoto waisone tukio hilo.

Baadhi ya mashuhuda waliokuwa eneo la tukio wanaoishi maeneo hayo, waliokuwa na moyo kuwasogelea wapenzi hao walidai kuwa, wawili hao walikuwa wakionekana maeneo hayo mara kwa mara wakiwa wanaongozana kwenda kwenye vilabu zinavyouza pombe za kienyeji kwenda kupata vinywaji hivyo na walikuwa hawafahamiki walikuwa wanaishi eneo lipi.

Hata hivyo mwandishi wa habari hii hakufanikiwa kupata majina ya wawili hao, na imeona kutoweka picha kwa kuwa picha hiyo kimaadili isingeweza kutumika katika mtandao huu kutokana na kuwa kinyume na maadili ya watanzania.

Report nzuri sana ila nimeudhika sana tena sana baada ya kutoona hatua zilizochukuliwa na wenyeji wa eneo hilo. Walitakiwa wakamatwe wachalazwe ukweli wa kuchalazwa na hata kuachiwa ulemavu ili wasiisahau hiyo katika maisha yao. sasa eti ushetani huo watu wanaangalia na kuwaacha.basi wangepiga hata kerere sisi wa Bungoni tukaenda kutoa Adabu. Suala la ulevi siyo tiketi ya kufanya ngono hadharani.
 
jamaa walikua wamepiga kilaji man!!labda mngewamwagia maji kwanza kilaji kitoke ila waliombanaje wakiwa wamelewa??watu wana nyumba ila wanagongana kwenye majani tena baada ya kunywa matap tap

kuna njia nyingi za kuwatia adabu, hapo vi viboko tu mbona pombe zingewatoka? hapo kuna mmoja alikuwa anamtegeshea mwenzake na hasa huyo dume, inaonekana demu alikuwa anamchomolea akaona amlewesha kwa sana ili amgonge hadharani lengo lake kumuaibisha. Nakwambia viboko pombe zingetoweka. Niambie siku ile Gmboto walevi hawakuwepo? mbona wananchi wote walikimbia?Haiwezekani watu walewe chakali halafu wawe na nguvu za kufanya sex?
 
hahaaaaaaaaaa mbele ya kifo atakaa mtu mwanangu watu walikimbia siku ile wengine walijishangaa wamefikaje ubungo
kuna njia nyingi za kuwatia adabu, hapo vi viboko tu mbona pombe zingewatoka? hapo kuna mmoja alikuwa anamtegeshea mwenzake na hasa huyo dume, inaonekana demu alikuwa anamchomolea akaona amlewesha kwa sana ili amgonge hadharani lengo lake kumuaibisha. Nakwambia viboko pombe zingetoweka. Niambie siku ile Gmboto walevi hawakuwepo? mbona wananchi wote walikimbia?Haiwezekani watu walewe chakali halafu wawe na nguvu za kufanya sex?
 
kama sijakosea hii ni mbege toka kaskazini mwa tanzania kwa wachaga kilimanjaro!hii kitu nimegonga sana kipindi nipo o level tulikua tunatoroka shule kwenda kwa mama mmoja hv pale ir

du natamani nichomoe hapa kwenye kioo niinywe imenikumbusha mbali sana home kiraracha kwa babu mareche hhahahahahahaha
 
Hii ndiyo hali halisi ya society yetu. Tunaona kama pombe kuwa ni kitu kikubwa sana katika maisha kumbe ni upuuuuuuuuzi mkubwa. Kunywa pombe kama a refreshment ni siyo suluhisho la maisha yako. Matokeo yake ndiyo hayo mtu anakuwa na tabia za WANYAMA! That is dogish behaviour, they do it any time wherever they are!
 
humu wanaingia under 18 pia so huwezi weka picha za watu wanafanya mapenzi tutawaharibu watoto ila picha zipo kwanini unapenda uone picha mkuu?
Ndio tutazibitisha habari yako kuwa ni ya kweli na siyo SHY style... paleka kule kwenye jukwaa letu basi hizo picha?
 
Back
Top Bottom