Pombe Kali na Mapenzi!

wakati wa ujana wangu,nilikamata valuu,nikamix na redbull,expecting kwamba mchuchu atakuja.Mara hakutokea,alitaitiwa kwao.

Vip,are u interested to know what happened thereafter?

Mkuu usirudie tena kumix hizo vitu. Ni viagra! Unatakiwa uvimix wakati mchuchu uko kwa bed tena umeshasaula kabisa. Shauri yako.
 
Kwa nini ukimbilie huko kwenye mijipombe? lazima utakuwa una mapungufu, halafu kero anayoipata mwenzio kwa mijiharufu ya pombe wewe hufahamu tu naomba FL1 au VC wathibitishe hapa. Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kumtisha demu wake kwamba leo umekwisha ukija hurudi kwenu si unajua majigambo ya sisi wanaume, akilini kwa mwanaume anadhani akinywa konyagi au hizo mnazozitaja demu akija ni kudo kwa bidii na kuchelewa kufika kileleni ndo unakuwa umemtesa/umemridhisha demu au wewe ndo rijali au wewe ndo fundi wa tendo hilo KUMBE AKILINI KWA MWANAMKE anawaza leo jamaa nikifika ataanza na kwa romance mara kashika hapa mara pale, kachezea hapa, kageuza hivi kanyonya hiki eeenh caress ya taratiiiibu maneno matamu, compliments kwa sana eeenh nguao zinatolewa taratiiibuu moja moja mpaka mtoto wa watu anapotea kwenye mahaba anakuwa yupo dunia nyingine sasa hapo mambo mengine yanaendelea KUMBE huyo jamaa yeye demu akija akishamsaula/wakisaula kwa sababu ya drive ya MAPOMBE yake anachojua ni penetration tuuu na bidii kwa sana tena na akimaliza basi anakoroma tuuuuuu hahahaha WENZETU HAWA JAMANI WANAHITAJI tender care na si mijinguvu na mijipombe tunayotambia hapa. kwangu pombe inaniharibia stimu kwa sababu nimeshazoe ku do kwa nafasi ya namna hii. huwa mwenza wangu haishi kuuomba tena na tena.
 
Yeah jana nilipiga valuu chupa 2 na kilo moja ya nyama dah mzee gemu night lilikuwa tough sana mbona sijalala nazunguka tu bahati nzuri nilikuwa na chupa ya maji nilikuwa nafanya cooling tu si n'chezo mazee.
 
Kwa nini ukimbilie huko kwenye mijipombe? lazima utakuwa una mapungufu, halafu kero anayoipata mwenzio kwa mijiharufu ya pombe wewe hufahamu tu naomba FL1 au VC wathibitishe hapa. Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kumtisha demu wake kwamba leo umekwisha ukija hurudi kwenu si unajua majigambo ya sisi wanaume, akilini kwa mwanaume anadhani akinywa konyagi au hizo mnazozitaja demu akija ni kudo kwa bidii na kuchelewa kufika kileleni ndo unakuwa umemtesa/umemridhisha demu au wewe ndo rijali au wewe ndo fundi wa tendo hilo KUMBE AKILINI KWA MWANAMKE anawaza leo jamaa nikifika ataanza na kwa romance mara kashika hapa mara pale, kachezea hapa, kageuza hivi kanyonya hiki eeenh caress ya taratiiiibu maneno matamu, compliments kwa sana eeenh nguao zinatolewa taratiiibuu moja moja mpaka mtoto wa watu anapotea kwenye mahaba anakuwa yupo dunia nyingine sasa hapo mambo mengine yanaendelea KUMBE huyo jamaa yeye demu akija akishamsaula/wakisaula kwa sababu ya drive ya MAPOMBE yake anachojua ni penetration tuuu na bidii kwa sana tena na akimaliza basi anakoroma tuuuuuu hahahaha WENZETU HAWA JAMANI WANAHITAJI tender care na si mijinguvu na mijipombe tunayotambia hapa. kwangu pombe inaniharibia stimu kwa sababu nimeshazoe ku do kwa nafasi ya namna hii. huwa mwenza wangu haishi kuuomba tena na tena.

Mkuu umenena, wewe fundi.
 
Mkubwa umenigusa wewe ndiye ulitakiwa kuwa director wa movie ya KAMASUTRA, NAKUSHUKURU SANA kwa elimu hii japo nilikuwa nafahamu ila presentation yake safi sana
 
Babu kwani starehe ya ngono kuchubuka?
Mi nilidhani kupata bao ndio biashara, we wataka komoa....ndio mnavyojiumiza na kupasua mipira kuingiza midudu ya ukimwi hivyo.
 
Hii mi sijui kama ni kweli,coz nimeshajaribu tumia lakini mashine inasimama nikitaka ku doo inalala,yaani ninamawazo ambayo sijui nitayamalizaje,i cant overcome this situation!!
 
Nenda hospitali, unaumwa wewe.
 
mmh,ni kweli au?maana kuna siku nilikatafuna kadem kangu flani hapo bongo na nilikua nakula valeur siku hiyo,basi ikawa kila kakija home kananiletea tu valeur tuwili kabla ya gemu.nilikua sielewi,ila hayo mavaleur na zed na sijui nini noma mazee viwango zero na unaua kongosho na mapafu ini n.k,kula jack daniel mixer amarula utapata habari yake,mi siku hizi napiga gemu mkaaavu bwii badaye na na enjoy sana tuu
 
Amarula wanatumia mashosti. Angalia utalegea siku moja mkuu.
 
acha ushamba mkuu amarula 2shot jack daniel 2shot,same glass with ice*2 or 3,kisha nenda kale mzigo.hakuna kulegea wala nini unaweza kuitandika mpaka jogoo la kwanza na hamna machungu zaidi ya raha tu jaribu kisha utanipa jibu
 
Ngoja nikajaribu afu ntakuPM kukushukuru au kukulaumu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom