Pombe hizi Jamani...ha ha ha.....!

Mkare

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
504
78
Tujiliwaze kidogo baada ya mabomu...

Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.

"Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"

"mimi ni mtakatifu Petro na hapa si kitandani kwako bali ni mbinguni"

"Ina maana nimekufa? Mbona mimi bado kijana? Naomba unirudishe duniani."

"Inawezekana, lakini siwezi kukurudisha kama mtu, labda nikurudishe kama mbwa au kuku"

Harry akakumbuka mbwa anavyopata taabu ya kulinda, "Bora nirudi kama kuku"

Mara akajikuta yuko kwenye banda, akiwa kuku jike na matakoni kunawaka moto. Akamwona jogoo pembeni, akamwambia shida yake.

"Kaka ninasikia moto matakoni, inakuwaje?"

"Kwani hujawahi kutaga weye?" Jogoo akamjibu kwa maringo.

"Sijawahi"

"Chuchumaa, kamua kwa nguvu yai litoke."

Basi akakamua, yai la kwanza likatoka, akakamua tena yai la pili hilo! Akiwa anataka kukamua yai la tatu akasikia sauti ya mke wake.

"Harry, pumbavu wewe, unakunya kitandani!"
 
Du bora kanya kitandani kwake, iko siku atalala barabarani akijiona mbwa jike anataka kupandwa. Jamani pombe si chai
 
Du bora kanya kitandani kwake, iko siku atalala barabarani akijiona mbwa jike anataka kupandwa. Jamani pombe si chai

Ha ha ha... Na hizo ndoto zake lazima yatatokea tu...
 
Mkare ni mwizi wa thread zangu za jokes. Hii ya pili anaiba. Kisha kwenye thread za watu ana-comment 'copy & paste'

join me to say shame on him.
 
Mkare ni mwizi wa thread zangu za jokes. Hii ya pili anaiba. Kisha kwenye thread za watu ana-comment 'copy & paste'

join me to say shame on him.

ha ha ha ha!
Shame on him basi. Ila punguza hasira sidhani kama anafanya makusudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom