Polygamy for women

Mapinduzi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
2,422
91
Saudi Journalist: Why Is Polygamy Only for Men?

On December 11, 2009, Saudi journalist Nadine Al-Budair, a presenter on the Arabic-language American TV channel Al-Hurra, published a satirical article titled "Me and My Four Husbands" in the independent Egyptian daily Al-Masri Al-Yawm. In it, she wondered why, if a Muslim man could take up to four wives, a Muslim woman could not take four husbands so as to end the discrimination between men and women in this domain.

Following is an excerpt from the article:

Al-Budair: I Too Have the Right to Take Four Husbands

"[Please] allow me to marry four [husbands], or even five or nine, if possible. Let me emulate you [men], and choose them according to the wildest [whims] of my imagination. I will choose [husbands] of various shapes and sizes: one red-headed and one dark, one tall and one short. I will choose [husbands] of various sects, religions, nationalities, and ethnicities, and I promise you to [maintain] perfect harmony between them all. They will never quarrel, because [after all], they have a wife in common.

"Write me a civil law, or [re-]interpret some religious law [by] adding to it a new clause, [like they do in] those religious rulings [that are motivated] by a sudden impulse... [and are issued] without any prior warning. Just as you unjustifiably subject me to [various types of marriage] – [such as] mut'a, 'urf, misyaf, misyar and friend marriages and other twisted [inventions] – allow me to marry four [men].

"The last time I demanded my right to be permitted several husbands... the women condemned it even before the men did... The basis for my demand was my insistence on monogamy and my determination to challenge the men by demanding the right to feel what they feel... when they take four wives. Don't the men glorify this [right of theirs], don't they anticipate it openly and in secret? Whenever [the issue] of the men's monopoly on [polygamy] comes up for debate, nobody can give me a convincing [reason] why I may not take four husbands [as well]...

"Many say that polygamy is the solution [to the problem] of men becoming bored and fed up with their wives, [and a way to deal] with [these] feelings of theirs. However, polygamy is a violation of the CEDAW Convention.[Besides,] what about the feelings of the woman? Either permit polygamy to both [men and women], or else re-map [the custom of] marriage so as to solve this problem of boredom, which is the men's permanent excuse. Until [one of these things happens], I will continue to ask: What solution [do I have] if I become bored with my husband's body or [start to] feel that he is [like] a brother to me?"
 
Huo ni uchafu yaani katoka kupiwa kupumbu hapo kanyunyiziwa manii za kutosha anakuja mwengine naye ananyunyizia mamanii humohumol duh anakuja na mwengine au watakuwa wanamla mtungo mwengine mdomoni mwengine kwenye tiqo mwengine kwenye kitundu kitamu duh hii kitu haiwezekani kabisaaaa.......
 
I like your signature.

Si watafanya zamu bana. Mke atakuwa akimove from one man to another kwa zamu. Kila mwanaume atahudumiwa kwa siku 2 au 3. Na watoto watakaozaliwa wataishi na baba zao.
 
I like your signature.

Si watafanya zamu bana. Mke atakuwa akimove from one man to another kwa zamu. Kila mwanaume atahudumiwa kwa siku 2 au 3. Na watoto watakaozaliwa wataishi na baba zao.

Katika mambo ya wanyama, wanafundisha kuwa " one bull for 20-25 cows". Sijawahi kusikia kinyume chake na wanyama hawajatunga sheria! Huyo mwandishi akashughulike na biology kwanza. Kwa nini wanawake hawawekwi na wanaume katika kundi moja katika michezo kama riadha?
 
I like your signature.

Si watafanya zamu bana. Mke atakuwa akimove from one man to another kwa zamu. Kila mwanaume atahudumiwa kwa siku 2 au 3. Na watoto watakaozaliwa wataishi na baba zao.

Kule India hii inafanyika mke anakuwa na zaidi ya mume mmoja na wanaishi naye kwa amani tu!!!! Nina wasiwasi huyu dada atatafutwa apigwe mawe kwani anajaribu kuja na mawazo yanayokwenda kinyume na maagizo ya dini yake!!!!!!

Tiba
 
Katika mambo ya wanyama, wanafundisha kuwa " one bull for 20-25 cows". Sijawahi kusikia kinyume chake na wanyama hawajatunga sheria!

nani anawafundisha hao wanyama? Je wananyama hao wanaexclude mbuzi?

Kwa elimu zaidi waweza soma:

Kule India hii inafanyika mke anakuwa na zaidi ya mume mmoja na wanaishi naye kwa amani tu!!!! Nina wasiwasi huyu dada atatafutwa apigwe mawe kwani anajaribu kuja na mawazo yanayokwenda kinyume na maagizo ya dini yake!!!!!!

Tiba
 
I like your signature.

Si watafanya zamu bana. Mke atakuwa akimove from one man to another kwa zamu. Kila mwanaume atahudumiwa kwa siku 2 au 3. Na watoto watakaozaliwa wataishi na baba zao.

Nani atajua ndo yeye katingisha nyavu na mtoto ni wake ili amtunze !! Hiii kitu haiwezekaniki kabisaaaa
 
Nani atajua ndo yeye katingisha nyavu na mtoto ni wake ili amtunze !! Hiii kitu haiwezekaniki kabisaaaa

Mambo ya DNA hayo. Mke akijifungua cha kwanza ni kwenda kufanya DNA test kuprove mume yupi ndio baba. Majibu yakipatikana mtoto anapelekwa kwa baba husika.

Ndio utamu wa mapinduzi ya sayansi na technolojia. Twende na wakati.
 
Nani atajua ndo yeye katingisha nyavu na mtoto ni wake ili amtunze !! Hiii kitu haiwezekaniki kabisaaaa

Kuwezekana au kutowezekana lazima iendane na utamaduni wa watu. Akitaka mabadiliko makubwa ambayo yanahusisha kubadili mtazamo (mindset) wa watu uliojengeka kwa karne nyingi inabidia awe tayari kulipa gharama yake. Hata mwanasayansi aliyeeleza kwa mara kwanza kuwa dunia inalizunguka jua alikumbwa na misuko suko. Je, huyo mama yuko tayari au anabeep?
 
huyo binti sia aamue kuwa changu tu..ili awe anachukua kila aina ya midume na hakuna atakayemsuta...
 
Kwa mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja ni jambo lililoharimishwa kisheria, ni jambo ovu ki khulqa hata kwa kulifikiria tu, kwani mwanamke ni mahali pa uzazi, na ikiwa atakuwa na waume wengi, basi maji ya uzazi yatachanganyika na nasaba zitapotea.
Mwanamume anaweza kuwa na wake wengi na akawa na uhakika kuwa watoto wote ni wake, lakini kwa upande wa mwanamke jambo hilo haliwezekani.
Kisha mwanamume ndiye mwenye kumsimamia mwanamke, sasa ikiwa mwanamke mmoja atakuwa na waume wengi, atamtii yupi kati ya waume wote hao?
Isitoshe wanawake wengi hawana uwezo wa kutimiza mahitajio ya mwanamume mmoja tu. Vipi basi atakuwa na uwezo wa kutimiza mahitajio ya wanaume wengi?"
Mwisho wa maneno ya Sheikh Al Ashqar
Wallahu taala aalam
Wassalaam alaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh
Ndugu yenu
Muhammad Faraj Salem
 
hii mbona imenikosesha raha mie

Pole sana mdogo wangu. Si unajua tena, wakulu wameguswa kidogo. Hawataki kabisa kitu kinachoitwa kugawana mkate ingawa wanapenda, pia ni mabingwa wa kula ya wengine! Ni mitizamo tu, usijali tutafika.
 
Kwa mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja ni jambo lililoharimishwa kisheria, ni jambo ovu ki khulqa hata kwa kulifikiria tu, kwani mwanamke ni mahali pa uzazi, na ikiwa atakuwa na waume wengi, basi maji ya uzazi yatachanganyika na nasaba zitapotea.
Mwanamume anaweza kuwa na wake wengi na akawa na uhakika kuwa watoto wote ni wake, lakini kwa upande wa mwanamke jambo hilo haliwezekani.
Kisha mwanamume ndiye mwenye kumsimamia mwanamke, sasa ikiwa mwanamke mmoja atakuwa na waume wengi, atamtii yupi kati ya waume wote hao?
Isitoshe wanawake wengi hawana uwezo wa kutimiza mahitajio ya mwanamume mmoja tu. Vipi basi atakuwa na uwezo wa kutimiza mahitajio ya wanaume wengi?”
Mwisho wa maneno ya Sheikh Al Ashqar
Wallahu taala aalam
Wassalaam alaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh
Ndugu yenu
Muhammad Faraj Salem
 
This is disturbing in so many ways.
icon8.gif

Btw it's called polyandry
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom