Polls: Queen of MMU 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Queen of MMU 2011"?

  • Lizzy

    Votes: 28 37.8%
  • AshaDii

    Votes: 46 62.2%

  • Total voters
    74
  • Poll closed .
When you are told to choose among the best,....what do you do?
You don't vote.
 
Mbona Ashadii tena hapa? Mwenyekiti, hii imekaa sawa kweli? Kwa mtazamo wangu nahisi ni kama kumruhusu mtu agombee urais na ubunge kwa wakati mmoja!

Just thinking aloud Sir.
 
Heheh......hapa fagio kwa Lizzy as the Queen of MMU! AshaDii yeye ndiye overall....woman of the year!!!

Yeah,i can buy this one.
Ngoja nikavote tena Ashadii kwenye woman of the year naona kama
yuko mwenyewe hivi,au ana mpinzani?
 
Mbona Ashadii tena hapa? Mwenyekiti, hii imekaa sawa kweli? Kwa mtazamo wangu nahisi ni kama kumruhusu mtu agombee urais na ubunge kwa wakati mmoja!

Just thinking aloud Sir.

Sio mbaya,assume anagombea Ubunge na Udiwani.
 
Yeah,i can buy this one.
Ngoja nikavote tena Ashadii kwenye woman of the year naona kama
yuko mwenyewe hivi,au ana mpinzani?

We kavote tu tena kwa nguvu zote, hakuna mpinzani kwa AshaDii....ila kuna mtu anaitwa faizafox anamsindikiza kwa nyuma.....nadhani ndie atakaekuwa anamfuta jasho our JF Woman Of The Year...AshaDii!!!
 
Ashadii hamfikii lizzy kwa topics and varieties,sema Lizzy ana majibu ya mkato na sometimes she is not polite,hili tu ndio litamuangusha....i must say for a girl her age,ni jembe haswaa...mada anazoleta na umri wake utakubali kuwa she is on top......big up lizzy....i pray your attitude will change as you get older....
 
You know her age?
 
i dont know her,but nilimsikia memba sijui ni MTM sijui nani kny birthday yake akisema she is not above 25.....
Your wrong Neema ..
I know Lizzy inside out ..

Humjui basi acha ku guess.
Ni competition ya Queen of MMU na si mashindano ya kutafuta umri wa mtu ..
 
Back
Top Bottom