Polls: JF Man Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Man Of The Year 2011"?

  • BAK - Bubu Ataka Kusema

    Votes: 19 29.7%
  • Aspirin

    Votes: 29 45.3%
  • EMT

    Votes: 16 25.0%

  • Total voters
    64
  • Poll closed .
Mi sijui huwa nna nini...

Tangu nizaliwe sijawahi kumpigia mtu kura afu akashinda zaidi ya mwaka juzi kura yangu kwa Halima Mdee ilipovunja rekodi

Tangu nizaliwe sijawahi kupigiwa kura nikashinda zaidi ya mwaka huu hapa JF chini ya kampeni meneja wangu Kongosho asali ya ODM, mratibu wa uchaguzi Fellow tablet klorokwini na them my darling wajukuuz :A S-coffee:i love you all :poa. (Hivi bado kura zinaendelea kupigwa???)

Nachoweza kusema kwa kifupi sana ni kuwa NAWASHUKURUNI wote mlionikampenia na wote mlionipigia kura na mliowapigia washkaji zangu BAK na EMT.

Am happy but I think I don't deserve this.

Baada ya kusema hayo, napenda kuwahakikishieni kuwa ODM anawapendeni wote. Karibuni kaunta ya juu kwa Tusker Malt baridi kwenye glasi ya moto.
 
Asprin naona mpaka sasa hauna mpinzani, Kloro alikupigia kampeni na ahadi kibao utazitimiza au itakua kama Ahadi za Baba MwanaAsha? Kuigeuza Kigoma kua Dubai??
 
Hio ni figure of speech au kweli alitamka hayo?
 
For me, Aspirin yuko juu. Hip Hip Hip Hureeeeeeee. Vote for Aspirin
Thank you pal, karibu Tusker Malt hapa Zero Pub kwa Eliza wa Tegeta.

Asprin naona mpaka sasa hauna mpinzani, Kloro alikupigia kampeni na ahadi kibao utazitimiza au itakua kama Ahadi za Baba MwanaAsha? Kuigeuza Kigoma kua Dubai??
Ngoja kwanza nikamate mshiko wa Superman...... nawaahidi kuwanunulieni daladala.

Hio ni figure of speech au kweli alitamka hayo?
Heheheh.... ngoja akujibu mwenyewe. Ulinipigia kura?
 
naona hapa kwa asilimaire tisini na tisa ''wajukuu'' ndo wamempa ubingwa huyu mzee...!
 
He he he! Ntakusimulia nyumbani.

Babu bana, asante kushukuru.
It was fun kuwa kampeni manager wa kujichagua.

Hebu kawaambie kule siasa wanichague niwakampenie 2015.

Pamoja na kuwa nilimkampenia Babu ODM, lakini natambua mchango na busara wa wapinzani wako.
Pamoja sana EMT and BAK.
 
Mi sijui huwa nna nini...

Tangu nizaliwe sijawahi kumpigia mtu kura afu akashinda zaidi ya mwaka juzi kura yangu kwa Halima Mdee ilipovunja rekodi

Tangu nizaliwe sijawahi kupigiwa kura nikashinda zaidi ya mwaka huu hapa JF chini ya kampeni meneja wangu Kongosho asali ya ODM, mratibu wa uchaguzi Fellow tablet klorokwini na them my darling wajukuuz :A S-coffee:i love you all :poa. (Hivi bado kura zinaendelea kupigwa???)

Nachoweza kusema kwa kifupi sana ni kuwa NAWASHUKURUNI wote mlionikampenia na wote mlionipigia kura na mliowapigia washkaji zangu BAK na EMT.

Am happy but I think I don't deserve this.

Baada ya kusema hayo, napenda kuwahakikishieni kuwa ODM anawapendeni wote. Karibuni kaunta ya juu kwa Tusker Malt baridi kwenye glasi ya moto.
Hongera kwa ushindi wa kura 29 kati ya JF members 65,931.
 
Kwanini?

naona hapa kwa asilimaire tisini na tisa ''wajukuu'' ndo wamempa ubingwa huyu mzee...!
Hahahaha... Jukuuz for babuz!
He he he! Ntakusimulia nyumbani.

Babu bana, asante kushukuru.
It was fun kuwa kampeni manager wa kujichagua.

Hebu kawaambie kule siasa wanichague niwakampenie 2015.

Pamoja na kuwa nilimkampenia Babu ODM, lakini natambua mchango na busara wa wapinzani wako.
Pamoja sana EMT and BAK.
Hivi ndoa yetu itakuwa lini vile? Nimechoka uchumba sasa!
 
Sikukupigia kura ila wana JF wamekuchagua.
In a real democracy I have to accept the results
and display some sense of fair play... Hongera sana Babu
And I don't say this just because of the free beer. :tongue:
 
Uliyempigia kura ana deserve! Mie pia nilimpigia!
 
Sikukupigia kura ila wana JF wamekuchagua.
In a real democracy I have to accept the results
and display some sense of fair play... Hongera sana Babu
And I don't say this just because of the free beer. :tongue:

Kwa nini ulimpigia ulie mpigia na sio aloshinda?
 
Bado mgeni hapa. sikutaka niharibu kura kwa kupiga kwa njia ya multiple choice.
Orayt...

Mie naitwa Asprin a.k.a Babu yaani ODM wa wajukuu.

Unakaribishwa katika familia yangu. Facebook unatumia ID gani?
 
Back
Top Bottom