Poll Result - Kujivua gamba kwa CCM

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
poll.png
CCM kujivua ‘Gamba' inatosha kujisafisha?

Hapana huu ni ubabaishaji wa siasa za maji taka, wanazunguka mbuyu 562 55.3%

Ni bora wakifutilie mbali na kuanzisha chama kingine, gamba huwa linakomaa tena 203 20%

Ndiyo kutaimarisha chama, na kuja na mikakati mipya ya kujenga nchi 133 13.1%

Wataleta mabadiliko ya nukta baadaye watarudi katika hali yao ya ufisadi 119 11.7%

Number of Voters : 1017 First Vote : Thursday, 14 April 2011 12:42 Last Vote : Tuesday, 19 April 2011 14:49



Source ya Poll ni Mwananchi: CCM kujivua
 
Nimecheka sana kwa matokeo hayo halafu ukaoanisha na majemedari wanaotumiwa kuuelimisha umma kwamba CCM ina nia ya kweli kupambana na ufisadi.. wamo Wassira, Sophia Simba, n.k., ukiwaona tu unajua hapa hakuna aliye serious... they are just talking na wanaweza kuongea lolote ili mradi siku imekwenda na mkono umekwenda kinywani
 
wote hawana maana mtu na akili zako uwezi kukaa ukasikiliza mipasho na wacheza viduku
 
Wasira naye ni mtu wa kueleza jambo watu wakahamasika? Unajua ccm wanajiroga wenyewe wanaona kweli msekwa,wasira na mkama watashawishi kanda ya ziwa waipende ccm karne hii msemo wa tangazo la crdb ccm wanatumia magamba kujisafishia? Naona ccm hamko serious nenda mkajipange cdm wamewawin mnatapa tapa tu
 
Hata mwaka jana kabla ya uchaguzi polls nyingine za internet matokeo yalikuwa hivyo hivyo, lakini uchaguzi matokeo yalikuwa TOFAUTI kabisa, uzuri au ubaya wa wapiga polls nyuma ya computer zao huwa hawana sauti katika maslahi ya Taifa, na hawapigi kura za kuchagua viongozi kama wabunge na rais, poleni sana
 
Inategemea poll inafanywa na nani.ikifanywa na gazeti la uhuru naamini watu wengi watasifia mabadiliko yaliyofanyika ndani ya CCM.
 
Matokeo ya hiyo Poll yanategemea sana ni kina nani wanaosoma gazeti la mwananchi "Online". Hili ni kundi la kizazi kipya na wasomi.....CCM iangalie mahitaji ya wasomi na ya kizazi kipya kama inataka kuendelea kuongoza nchi hii, vinginevyo wapiga kura wa 2020 na 2025 ndiyo hiyo 55%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom