Poll: Kitafunio kipi bomba kwa chai?

duh, kumbe waumini wa kiporo tupo wengi eeeh! kiukweli me si mtoto wa kishua, nagonga kiporo kila kinapopatikana tena kiwe cha ubwabwa wa maharagwe utajirambajeeee lolest!!!!!!
 
ukishakula kisamvu inabidi ukapge tena mswaki, hakina adabu kile

nikuambie utaratibu wa kiafya?
Hakikisha unaswaki vizuri kabla ya kulala. Ukiamka asubuhi unakunywa maji, unaoga then unatandika bfast. After ndo unaswaki tena na kusukutua. Fresh breath kutwa nzima, full confidence. Mchana kama huwezi kuswaki huko uliko, tembea na sugar free chewing gums. Mate yanayotengenezwa yatasafisha meno.
Hakuna kitu embarrassing kama kutembea na ganda la haragwe kwenye jino, uwii!
 
Hakuna kitafunio bomba zaidi ya meno maana vitafunwa vyote lazima vipite pale!
 
Mhogo wa kukaangwa unachovya kwenye chumvi then unakula ukishushia na chai! Kama mihogo haipo mbadala ni MICHEMBE ukishushia maziwa mgando!! Ahahahaaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.
ha haaaaaaa, umenikumbusha, juzi nilipata mgeni, nikapika wali na maharage ya nazi. tukachelewa sana kulala, kesho yake sababu ilikuwa J1 napenda kuchelewa kuamka ila yeye alikuwa aende sehemu. nikamwambia asiniamshe akiamka maana angerudi baadae. sasa si akaamka kutengeneza breakfast? alikuwa kiporo choooooteeee, wakati niliona kilichobaki kingetutosha wote. aliporudi aliona noma sana ikabidi aanze kujieleza alishindwa kunibakizia.................
 
duh, kumbe waumini wa kiporo tupo wengi eeeh! kiukweli me si mtoto wa kishua, nagonga kiporo kila kinapopatikana tena kiwe cha ubwabwa wa maharagwe utajirambajeeee lolest!!!!!!
kiporo kiwe na kisamvu kilicholala na chenyewe!dah af ukipige usawa wa saa tano hivi!ah huamki hapo ulipokaa!tena ukitaka ukifaiid ukae chini kabisa ,manake kiporo utakulaje mezani eti na table mat juu?kasema nani!kiporo raha yake ushushie na maji sio juice delamonte!
 
ha haaaaaaa, umenikumbusha, juzi nilipata mgeni, nikapika wali na maharage ya nazi. tukachelewa sana kulala, kesho yake sababu ilikuwa J1 napenda kuchelewa kuamka ila yeye alikuwa aende sehemu. nikamwambia asiniamshe akiamka maana angerudi baadae. sasa si akaamka kutengeneza breakfast? alikuwa kiporo choooooteeee, wakati niliona kilichobaki kingetutosha wote. aliporudi aliona noma sana ikabidi aanze kujieleza alishindwa kunibakizia.................

hahahahahaha,
FP umeniacha hoi.
Mambo ya viporo haya unaweza kuumbuka ugenini.
 
Last edited by a moderator:
Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.

swadaktaaaaa kingine napenda kiporo cha wali wa nazi....au kiporo cha wali maharage
 
asubuhi .....
Napenda sambusa za nyama au za mboga...
Napenda sandwich, niitengeneze mwenyewe....
Napenda chapati na kipaja cha kuku......
Kababu
kachori
bagia za kunde

uziri naandaa mwenyewe ....loh ndo maana vitambi haviishi badala ya kula matunda twala mavyakula mafuta kibaaaao
 
swadaktaaaaa kingine napenda kiporo cha wali wa nazi....au kiporo cha wali maharage

Watu hawajui tu.
Uzuri Wa kiporo,
Ukishakula ile asubuhi, Mchana unaweza ukapita wima na ukasevu pesa yako.
Ila sio ule kiporo afu uende Kwenye Kikao,
Utajuuta!!
 
asubuhi .....
Napenda sambusa za nyama au za mboga...
Napenda sandwich, niitengeneze mwenyewe....
Napenda chapati na kipaja cha kuku......
Kababu
kachori
bagia za kunde

uziri naandaa mwenyewe ....loh ndo maana vitamni haviishi badala ya kula matunda twala mavyakula mafuta kibaaaao

Ndo mana umenenepa hvo.
Siri nishaijua.
 
Back
Top Bottom