Polisi Zanzibar nao wazidiwa

Wamezidiwa kiivipi? Fafanua. Kama mabomu ya machozi yanarindima ndio kuzidiwa!
 
Hizi habari nusu nusu zinatuchosha tu,muda wa kuanza kutafakari uko wapi?
 
Wamezidiwa kiivipi? Fafanua. Kama mabomu ya machozi yanarindima ndio kuzidiwa!

Polisi wanawadekeza sana hawa watu wa kibandiko.
Mbona kwa CHADEMA wanadikili hata kuua waandishi wa habari?
Mtoto umleavyo ndio akuavyo.
 
askari mwengine kitengo cha usalama ameuwawa baada ya kufyatuliwa risasi kimakosa katika mbarawa kwenye baa lilioko aman mjini zanzibar. Mwanausalama mwengine amejeruhiwa sehemu ya mguu. Aliyeuwawa ameshazikwa huko mwera nje kidogo ya mji wa zanzibar. Mabomu ya machozi yanaendelea kupigwa mfulululizo katka baa hilo.
 
FAHAMU YA KUWA “… mshahara wa dhambi ni mauti. Bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu” (Warumi 6: 23).

OKOKA “Kwasababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako yakuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako yakuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka” (Warumi 10:9).

HAKUNA NJIA INGINE YA WOKOVU BALI NI KUPITIA YESU TU!
 
Huyo shekh wamemficha wenyewe. Haiwazekani kwa umaarufu wake apotee bila kuonwa na mtu na pia kwa jinsi alivokuwa na wafuasi wengi haiingii akilini mtu huyu kukaa katika hali ya upweke tena barabarani. \haw wan lao jambo.
 
polisi wala hawajazidiwa na kuna polisi wametoka uko bara wameshushwa leo hapa kukabiliana na hawa washenzi wa mashenzini Shein anawalea hawa jamaa zake wapemba anashindwa kufanya kama ya Salmin na kuipa serikali Heshima SMz inadhalaulika na Uhamsho sababu hakuna utendaji
 
Hizo zote ni salaamu, siku CHADEMA tukiamua watakodi na wa nje ya nchi...
 
Polisi wanawadekeza sana hawa watu wa kibandiko.
Mbona kwa CHADEMA wanadikili hata kuua waandishi wa habari?
Mtoto umleavyo ndio akuavyo.

Kumbe CHADEMA na WANAOVAA VIBANDIKO ni vitu tofauti!? Kwa kupitia comments kama hizi hua ndio tunailewa rangi halisi ya CHADEMA!
 
swala la kidini huwezi kukurupuka tu kulitaatua linahitaji busaara za hali ya juu coz ukibugi tu imekula kwako
mtu akishaanza kuchoma kanisa na kuiba mali za kanisa hakuna cha busara tena ni kupasua vichwa tu! kanisa ni mahali patakatifu sana na pamewekwa wakfu mungu anakaa humo sasa wewe unataka kumchoma mungu??
 
FAHAMU YA KUWA “… mshahara wa dhambi ni mauti. Bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu” (Warumi 6: 23).

OKOKA “Kwasababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako yakuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako yakuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka” (Warumi 10:9).

HAKUNA NJIA INGINE YA WOKOVU BALI NI KUPITIA YESU TU!

We uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom