Itabidi hao makamanda waseme hao polisi wametoka wapi.Ila tuliambiwa polisi hawatoshi
Ila tuliambiwa polisi hawatoshi
Nikianza kuhesabu polisi waliopo mjini tu pale stand ya daladala kwenye round about wapo 8, kwenda Sua kuna gari pale lina askari 7. pale B one jirani na CRDB zipo defendaer mbili ikiwa na jumla ya zaidi ya askari 15. Ukienda msamvu wapo 7. sijui kama hawa wasingeweza kuimarisha huo mkutano kwa ulinzi?
ndugu yangu hapa ni sehemu ya kutoa habari na kupata taarifa. Kwahyo acha umbumbu wako.sasa unaanzisha thread ya nn wakati hujui chochote??acha kukurupuka!
Kweli nimeamini kamanda shilogile hamnazo. Au alikuwa anajaribu kutaka kupima nguvu ya umma wa morogoro?
Safari hii haponi mtu hata kama ccm itajitahidi vipi kutumia vyombo vya dola kujaribu kuisimamisha M4C wataishia kupata aibu.
Wananchi wamewachoka sasa wao wanahangaika kutumia dola kukabiliana na Chadema.
Labda wajikite kwenye kuandaa vipindi vya tv kuonyesha utekelezaji wa ilani yao ya uchaguzi kwakuwa hapo wanaweza kuchakachua taarifa. Sasahivi wananchi hawachakachuliki tena wameshawastukia long time!
Ila tuliambiwa polisi hawatoshi
Wa kulinda mkutano hawatoshi, wa kusambaratisha wapo hadi wa reserve!
Nasikia Shologile ni Mlokole anawezaje kkushiriki udhalimu ?
Na baada ya kuizika ndiyo Mwema na genge lake watatueleza walikuwa watumishi wa CCM au wa umma. Kama wa CCM na mafao yao yaandaliwe hukohuko CCM. Kama walikuwa wa umma tuwashtaki kwa kushindwa kusimamia majukumu yao.Watanzania wanaona kinachoendelea na hakika kifo cha CCM kina kiko njiani..