Polisi yazuia maandamano ya 'kuunga mkono hotuba ya JK' Dar

naona kila mtu anatoka kwenye mada ya msingi.polisi wamesema yatasababisha foleni.
ila naona sababu imekuwa ni cdm.
 
wamegundua hakuna mass support hawana lolote walijua watu watayashobokea sasa wakaidi amri ya polisi kwani maandamano si haki yao ya kikatiba....
 
tunaomba wawaachie waanamane kama ni foleni waanzie magomeni to mazense ikishindikana hataa wafanye public rally, tunataka kuwaona maadui wa umma kwa sura zao

Wazo zuri (in bold)! Night and day I think who are these Vijana wa CCM??? Dar kuna mambo ya ajabu sana. Huwa kuna 'Wazee wa CCM' pia!!!! wakikutana na JK wanachoshangalia hukioni. Nilitamani kuwaona hawa vijana wakiandamana!

Nawalinganisha hawa vijana sawa na kijana wa Gaddaffi; vijana wanao-suport Bagbo wa Ivory Cost..na atakavyofanya mtoto wa Rais Mseven hapo baadae.....
 
Yale Maandamano yaliyokuwa yafanyike leo kuunga mkono Hotuba ya JK yamezuiwa na Polisi kwa madai kuwa yatasababisha msongamano kwenye barabara watakazopita.

Nauliza:
Polisi/CCM wameshtukia nini?
Je! Ni ujanja wa kuja kuzuia maandamano yenye tija kutoka Chadema kwa sababu hiyo hiyo?

nilijua tu.......

polisi ya Tanzania haiwezi kuruhusu maandamano ya mashosti
 

u r obviously dumb kama hamuwezi kuona kuwa huo ni mchezo umechezwa ili kuja kuzuia maandamano ya CDM kwa sababu kama hizo??mbinu mnazotumia ccm ni za kizamani,watu wanathink deeply,..na hiyo ni kujaribu kujustify upuuzi wao wa arusha,..freedom is coming tomorrow
 
Hawana jipya hao wanaoitwa 'VIJANA WA CCM'. Kwanza siyo vijana wa CCM, ni vijana wa mafisadi. CCM haipo, ilishakufa. Kilichopo ni genge la mafisadi. Hakuna mtu anayeweza kuandamana kuunga mkono wapambe wa mafisadi halafu akajiita ni 'KIJANA WA CCM YA NYERERE'. Hakuna kitu kama hicho. Wapuuzwe kwani ni watoto wa mafisadi, nao ni mafisadi au ndiyo wako darasani wakifundishwa ufisadi ...


Wamestukia hawatapa cloud ya kutosha hao!!
 
Sasa tuwasubiri Clouds FM na Global publishers Biafra. Sijui nao watasingizia nini.
 
Mbona yamewahi kufanyika maandamano, tena yaliyovuta watu wengi lakini hatujawahi kusikia polisi ikizuia kwa kuhofia foleni? Iweje maandamano ya masharobaro yasababishe foleni?!!!!!!
 
Polisi nao wana akili kidogo:kwani wanaunga mkono hoja gani yenye mshiko?

Lakini, wanatafuta(Polisi) kisingizio cha kuzuia maandamano ya CHADEMA yatakapokuja..
 
Leo ndio mtawatambuwa rasmi machangudoa wa kisiasa, mpaka sasa sijaona comment za wajinga hawa wafuatao, Kashaga, Jeykey, Kupeng'e, Maji mshindo, Zubeda & co, hivi CCM ina vijana tangu lini?
 
Tungewachapa, hao nu waumwa wa mafisadi. huwezi kuja kusema wanaunga mkono kutokuwa na umeme nchini. Hao saizi yetu kabisa na mamluki wa uchumi wa nchi yetu.

Hivi kiongozi wa maandamano hayo ni nani?
 
mkuu mbona sijui kama hawa vilaza wanamaandamano pia!? ni yanini? wanataka nini?
Wameandaa tamasha lao viwanja vya biafra kuhamasisha "uzalendo" na kupiga vita "malumbano ya kisiasa". This wkend kama sikosei.
 
naona kila mtu anatoka kwenye mada ya msingi.polisi wamesema yatasababisha foleni.
ila naona sababu imekuwa ni cdm.

Watu wanachambua zaidi uamuzi wa polisi kwani inajulikana polisi na CCM lao ni moja.
Na hiyo ndiyo maana wakaitwa Great thinkers.
 
Back
Top Bottom