Polisi yaendelea kumsaka Nanyaro Mwenyekiti Bavicha mkoa wa Arusha

kama JK atakua A-Town asipoangalia vizuri yatamkuta yale yaliyomkuta Chuo kikuu kwenye maafali ya miaka 50. Vijana walikosa uvumilivu hivyo si ajabu arusha nako yakawa vivyo hivyo.
Aje tu lakini akae akijua huku hatulipii vyumba wana ume wenzetu na kuwa nunulia suti....
 
kwani hawapajui kwake,kwa nini mamtegee au kumvizia kihuni huni,kwani kamanda nanyaro amekuwa fugitive wa kuwekewa mitego ya kukamatwa.polisi waseme wanamtafutia kosa la kumbabika na yeye nanyaro amekuwa akiruka mitego yao.sitashangaa nikisika nanyaro kakamatwa kwa kosa la kupiga bar,au kuendesha baiskeli mwendo kasi.ili mradi tu wamtie nguvuni.

hahaha, kweli ni noma, au baiskeli haina breki.
 
Kama kweli polisi wananisaka nipo Arusha mjini,na kamwe siwezi kuwakimbia polisi,na leo jioni nilikuwa kituo kikuu cha polisi kuwafuatilia vijana wetu waliokamatwa
Kimsingi nasimamia haki na sina hofu kwenye hilo
 
Nina mashaka sana na utendaji kazi wa polisi wa Arusha, kwa nafasi ya uongozi aliyonayo Nanyaro sioni kwanini wa muwinde kama ndezi badala ya kumfuata ofisini kwake. Au wanataka wamdhuru na baadae msingizie kuwa jambazi?
 
nanyaro hajifishi-yupo anafanya mambo yake kama kawaida polisi ndio wanaomuogopa maana wanajua fate yao kama wakienda bila mpangilio
 
Jioni ya Leo nimetoka kituoni,katika jitihada za kutaka kuwatoa vijana wetu waliokamatwa na polisi,nimeenda hapo ili kama kweli wanataka kunikamata niwe nimerahisisha kazi ila hawakunikamata
Naendelea na shughuli zangu na mapambano yanaendelea
Aluta continua..
 
Jioni ya Leo nimetoka kituoni,katika jitihada za kutaka kuwatoa vijana wetu waliokamatwa na polisi,nimeenda hapo ili kama kweli wanataka kunikamata niwe nimerahisisha kazi ila hawakunikamata
Naendelea na shughuli zangu na mapambano yanaendelea
Aluta continua..

Tutashinda Hii Vita. Pambana Kamanda Sisi Tunakuunga mkono
 
Kweli nimeamini jinsi hawa jamaa wanavyocheza na akili za watu na Sao wanakuwa busy kujadili pumba mean mpambanaji ni Nanyaro mwenyewe hapa anatuma thread kama Matungwa mwingine kabisa na watu wanakuwa busy kujadili. Siku zote unapokuwa na viongozi wa mamma hii ni Gagarin sana kwa Taiga kwani kama ni habari za kweli atajificha mpaka link? Nanyaro ni Diwani na Mwenyekiti wa wilaya na pia BAVICHA mkoa anapgopa nini kwenda polisi.
 
Jamani naomba sana endapo Kamanda Nanyaro J Nanyaro Jr atakamatwa basi mniabarishe niweze kukamilisha kale kampango waelewe hatutakata tamaa.
 
Hawa polisi dawa yao ni kuanza kutafuta silaha zetu wenyewe za kujilinda dhidi ya uonevu wao. Mnamtafuta mtu, tena Diwani, kwa kumwekea mitego kwani amekuwa panya au ngedere? Ni ujinga ulioje!
 
wanamkate wampeleke wapi ? kama anastahili kushitakiwa si waende mahakamani (au wanataka rushwa)
 
.....Nanyaro ni Diwani na Mwenyekiti wa wilaya na pia BAVICHA mkoa anapgopa nini kwenda polisi.



Mkuu ukisoma maelezo yake hapo juu utaona kwamba yeye haogopi kwenda polisi. Na amekwenda hadi makao makuu ya polisi lakini ameachwa. Inaonekana polisi ndio wanaogopa kumkawata!
 
Kama hii habari ni ya kweli basi hatuna Polisi.
Kwani ilikuwa watoe taarifa tu kwamba Nanyaro anahitajika kituoni bila kumkamata kwa nguvu.
Nanyaro akishindwa kwenda huko ndio Polisi wamsake/vizie ili kumkamata.
Vinginevyo hizi ni porojo na kutafuta SIFA za kijinga.
 
Alipata mafunzo ya hide and seek kutoka kwa vijana wa mossad.
Nilishakutana naye kwa wayahudi wakati nikiwa na kidon.
 
Mkuu ukisoma maelezo yake hapo juu utaona kwamba yeye haogopi kwenda polisi. Na amekwenda hadi makao makuu ya polisi lakini ameachwa. Inaonekana polisi ndio wanaogopa kumkawata!
kwani amefanya kosa gani?
 
Back
Top Bottom