Polisi wazuia mkutano wa CHADEMA Dodoma mjini....

Hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki mpaka Muandamane kwa kila jamboo? Cjaona chama chenye ulimbukeni katika dunia hii kama chadema maana kila kukicha ni maandamano tuu. Kumbukeni ipo cku nanyi mtakuwa madarakani hvy hii tabia mnayoipanda kwa wananchi itakuja iwaathiri na vijana ni maridadi kwa kukariri wajengeeni2 hayo mazingira ya kuandamana kwa kila jambo hata kama mambo mengine yananjia zingine za kudai, . huu ni wakati wa kujenga nchi tumeshachagua serikari na wawakilishi ambao ni wabunge wa ku2semea mpo kazi yenu ni nini? Maana mahakama zipo, police wapo pia , mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya serikari na vyombo vyake? Acheni upuuzi msicheze na amani ye2 jamani wengine tumechuma kwa jasho na bidii zetu mnataka vurugu itokee tuwe maskini? Msitupelekepeleke2....

Unatumia cocaine ipi, ya Afghanistan au ya Colombia?
 
Kwa kweli hii hali imenishangaza sana binafsi nilifika eneo la Uwanja wa Barafu na nikawashangaa Police wakiwa wamevaa makofia yao kama wanaenda vitani na kitu cha ajabu hata muda wa maandalizi walilanda landa muda wote pale uwanjani,da kweli Polisi akili zao zipo M.A.K.A.L.I.O.N.I
 
Hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki mpaka Muandamane kwa kila jamboo? Cjaona chama chenye ulimbukeni katika dunia hii kama chadema maana kila kukicha ni maandamano tuu. Kumbukeni ipo cku nanyi mtakuwa madarakani hvy hii tabia mnayoipanda kwa wananchi itakuja iwaathiri na vijana ni maridadi kwa kukariri wajengeeni2 hayo mazingira ya kuandamana kwa kila jambo hata kama mambo mengine yananjia zingine za kudai, . huu ni wakati wa kujenga nchi tumeshachagua serikari na wawakilishi ambao ni wabunge wa ku2semea mpo kazi yenu ni nini? Maana mahakama zipo, police wapo pia , mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya serikari na vyombo vyake? Acheni upuuzi msicheze na amani ye2 jamani wengine tumechuma kwa jasho na bidii zetu mnataka vurugu itokee tuwe maskini? Msitupelekepeleke2....
nimeshindwa kuendelea kusoma hicho uilcho andika! nimehisi nataka kutapika!! da kuishi na mbumbumbu ni kazi kweli.
 
Hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki mpaka Muandamane kwa kila jamboo? Cjaona chama chenye ulimbukeni katika dunia hii kama chadema maana kila kukicha ni maandamano tuu. Kumbukeni ipo cku nanyi mtakuwa madarakani hvy hii tabia mnayoipanda kwa wananchi itakuja iwaathiri na vijana ni maridadi kwa kukariri wajengeeni2 hayo mazingira ya kuandamana kwa kila jambo hata kama mambo mengine yananjia zingine za kudai, . huu ni wakati wa kujenga nchi tumeshachagua serikari na wawakilishi ambao ni wabunge wa ku2semea mpo kazi yenu ni nini? Maana mahakama zipo, police wapo pia , mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya serikari na vyombo vyake? Acheni upuuzi msicheze na amani ye2 jamani wengine tumechuma kwa jasho na bidii zetu mnataka vurugu itokee tuwe maskini? Msitupelekepeleke2....

Wewe umeambiwa mkutano,nani kasema ni maandamano? Please try to read between the lines!
 
dodoma rpc is a longtime associate of jk and his transfer to dodoma was purposely made in order to safeguard the interests of magamba and thereby extend their domination in central zone.

are you you?! Wonders shall never end
 
ukombozi huwa hauji kwa slope kiivyoo!! wananchi wa Dodoma piganeni kufa kupona ili uubakaji wa demokrasia kama alivyosema mkuu tuumalize. igeni vijana wa Arusha. Remember CHADEMA is unstopable fire.
 
naona mwita25 taratibu anaanza kuwa mkweli!big up!bado mzee!ff,mwenzetu Ms siku hz anamwaga point balaa!
 
POLISI
NI MAGAMBA
PAMOJA NA
MATESO YA
kuishi kama
kuku kwenye
vijumba vya hooovyo
mishahara duni
bado wanaishabikia CCM
POLE YAO,PAMOJA NA
USHABIKI WAO BADO
WATAENDELEA
KUDHARAULIKA MILELE
 
hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki mpaka muandamane kwa kila jamboo? Cjaona chama chenye ulimbukeni katika dunia hii kama chadema maana kila kukicha ni maandamano tuu. Kumbukeni ipo cku nanyi mtakuwa madarakani hvy hii tabia mnayoipanda kwa wananchi itakuja iwaathiri na vijana ni maridadi kwa kukariri wajengeeni2 hayo mazingira ya kuandamana kwa kila jambo hata kama mambo mengine yananjia zingine za kudai, . Huu ni wakati wa kujenga nchi tumeshachagua serikari na wawakilishi ambao ni wabunge wa ku2semea mpo kazi yenu ni nini? Maana mahakama zipo, police wapo pia , mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya serikari na vyombo vyake? Acheni upuuzi msicheze na amani ye2 jamani wengine tumechuma kwa jasho na bidii zetu mnataka vurugu itokee tuwe maskini? Msitupelekepeleke2....
acha ushamba na fikra zako finyu ukiwa ungali kijana.unazeeka vibaya kama magamba
 
Wanatekeleza maagizo ya waliowapa madaraka. Uchaguzi wa Igunga umewashitua sana na hakika wameona impact ya kueneza elimu ya uraia. Kama wataachia demokrasia ifanye kazi yake 2015 hawana chao.

CCM wanajua kwa sasa hawana uwezo wala mvuto wa kupata watu kwenye mikutano yao, hivyo basi njia pekee wanayoonelea itatoa ahueni kwao ni kuzuia mikutano ya vyama vingine.

Hii inanikumbusha kisa cha mgonjwa wa terminal cancer, kuwa hataki kuamini kama kifo chake kimewadia na hivyo kuamua kuzuia kila mtu anayekuja kumpa pole ya ugonjwa ili ausahau ugonjwa huo. CCM watatumia mbinu zote ila ukweli utabakia kuwa wamekosa mvuto toka kwa wananchi. Na mvuto huu haukusabishwa na CDM kufanya maandamano, bali kwa wao kuwadanganya wananchi tokeo 1995 uchaguzi wa vyama vingi ulipoanza, achilia mbali kuwa ni wao walio na madaraka tokea tupate uhuru kupitia vyama mama vyake, kabla yake 1977.

ADUI MKUBWA WA CCM NI JINA CCM.
 
Hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki mpaka Muandamane kwa kila jamboo? Cjaona chama chenye ulimbukeni katika dunia hii kama chadema maana kila kukicha ni maandamano tuu. Kumbukeni ipo cku nanyi mtakuwa madarakani hvy hii tabia mnayoipanda kwa wananchi itakuja iwaathiri na vijana ni maridadi kwa kukariri wajengeeni2 hayo mazingira ya kuandamana kwa kila jambo hata kama mambo mengine yananjia zingine za kudai, . huu ni wakati wa kujenga nchi tumeshachagua serikari na wawakilishi ambao ni wabunge wa ku2semea mpo kazi yenu ni nini? Maana mahakama zipo, police wapo pia , mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya serikari na vyombo vyake? Acheni upuuzi msicheze na amani ye2 jamani wengine tumechuma kwa jasho na bidii zetu mnataka vurugu itokee tuwe maskini? Msitupelekepeleke2....

Wenzetu ulaya wameandamana mwezi mzima hayo maendeleo bila mikutano ni ufisadi wananchi ndowanao panga maendeleo yaosehemu husika mikutano inazuiliwa unafikili kelo zao watazisemea wapi kama sii kwenyehiyo mikutano
 
si waamue tu na wao kutengeza comedy kama "police academy", maana me kila mara nikisika wanatajwa utakuta ni ubabe wa kimbuzi tu wanaleta.. Sasa wao wameona toka jamaa wanajiandaa kufanya mkutano wakala kimya wakaja kuzuia dakika za majeruhi kwanini? Au intelijensia ilichelewa?
 
Katika kile kinachoonekana kama kukosa akili kwa jeshi la polisi leo limezuhia mkutano wa CHADEMA ukiwa maandalizi yake yamefikia asilimia 99..Tangu asubuhi gari letu limepita kutangaza mkutano huu makini chakushangaza polisi wamekuja kutoa taarifa ya kusimamisha mkutano huu dakika za mwisho,habari za awali zinaonyesha hakuna sababu za msingi za kuzuia mkutano huu.Dalili za polisi kuingilia mkutano huu zilianza kuonekana mapema pale walipokusanyika kwenye vichochoro vya mji wa Dodoma karibu na uwanja wa barafu wakiwa na mavazi yao kama wamekuja kutuliza ghasia...mpaka natoa taarifa hii gari la CHADEMA lilikuwa polisi na bado taarifa za kina hazijatolewa...

Maoni ya wananchi:

  • Baada ya kupata taarifa za kuhairishwa mkutano huu,watu walikaa vi-group vidogo vidogo wakionekana na hasira na wakataka kuwaomba viongozi wahutubie na wao watatoa ulinzi,na kijana mmoja akasema huo utakuwa ulinzi shirikishi..
  • Wengine wakaomba tuanze maandamano mpaka ofisi ya kamanda wa polisi wa mkoa hili kumpa kilio chetu cha kuharishiwa mkutano dakika za mwisho....
Kwa hili ni dalili mbaya kwa polisi na wana-CHADEMA mkoa wa Dodoma tutachukua hatua stahiki kuzuia ubakaji huu wa demokrasia ulio wazi wazi bila hata aibu....

we inaonekana hata shule hujaenda,pili neno sahihi ni umeahirishwa na sio umeharishwa wala umehairishwa!inaonekana hujui kiswahili wewe.
 
chadema wanahamasisha vurugu. Bora polisi mmewazuia.
huko ni kukosa falsafa sahihi ya demokrasia , kuwa cdm inahamasisha vurugu?unaoushahidi?au ndo kutumwa na magamba acha nape kuwapotosha muwe waungwana wa demokrasia
 
we inaonekana hata shule hujaenda,pili neno sahihi ni umeahirishwa na sio umeharishwa wala umehairishwa!inaonekana hujui kiswahili wewe.

Mtu akikosa hoja huishia kutafuta typo errors, hatahivyo hakuna mahali ameandika hayo makosa unayoyataja, wewe ndo umechemsha.

Kama huna hoja ya kuchangia bora upige kimya tu na kuendelea kujifunza kiswahili.
 
hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki mpaka muandamane kwa kila jamboo? Cjaona chama chenye ulimbukeni katika dunia hii kama chadema maana kila kukicha ni maandamano tuu. Kumbukeni ipo cku nanyi mtakuwa madarakani hvy hii tabia mnayoipanda kwa wananchi itakuja iwaathiri na vijana ni maridadi kwa kukariri wajengeeni2 hayo mazingira ya kuandamana kwa kila jambo hata kama mambo mengine yananjia zingine za kudai, . Huu ni wakati wa kujenga nchi tumeshachagua serikari na wawakilishi ambao ni wabunge wa ku2semea mpo kazi yenu ni nini? Maana mahakama zipo, police wapo pia , mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya serikari na vyombo vyake? Acheni upuuzi msicheze na amani ye2 jamani wengine tumechuma kwa jasho na bidii zetu mnataka vurugu itokee tuwe maskini? Msitupelekepeleke2....

illogical
must b treated
 
Back
Top Bottom