Ni jambo lililowazi kuwa wakubwa hawa wa polisi wameligeuza jeshi kuwa mwambata wa ccm.Na wapo katika nafasi hizo si kwa ajili ya maslahi ya taifa bali ni kwa ajili ya maslahi yao,waliowateua na ndugu zao angalia jinsi IGP said mwema alivyomchakachua RPC basilio matei na wenzake baada ya mwambata wao mkubwa ccm kushindwa katika maeneo yao.Mwema ni muumini mkubwa wa vurugu ili kuipatia ccm ushindi.Nilikuwa namuamini kama mtu makini lakini sasa wote lao moja!
Anatekeleza agizo la BAKWATA
Sasa hizo sheria ulizoweka hapo ni za kufanya maandamano? Umezuwiwa kuandamana siyo kufanya mkutano!
hizi kauli huwa zinanifanya nijiskie vibaya sana, kwani baadhi yetu bado tuna hangover aiseeWamechemsha, Moto utawaka ,itakura kwao wasicheze na wananchi
Nilijua hili litatokea soon or later, I suggest wananchi wenyewe tujiorganise "kudai katiba na tume ya uchaguzi kubadilika" wenyewe... I suggest kutumia njia mbadala kama kuorganise namba ya sms kwa wananchi kutuma na kudai katiba mpya tunaweza kutumia hii kama ammunition kwa kuwapa wabunge wetu kujadili hili suala bungeni. "Non violence non violence, We shall overcome"