Polisi wazuai maandamo ya kupinga uvamizi wa Libya

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
Jeshi la polisi limezuia maandamano ya kupinga uvamizi wa coalition forces yaliyotakiwa kufanyika kesho
source-tbc
My take-Naona serikali imeona ni bora kuzuia la sivyo itatucost as taifa kwa ujumla
 
Is biafra grounds tanzania's tahir square? Wameruhusiwa wakutanie hapo biafra
 
Is biafra grounds tanzania's tahir square? Wameruhusiwa wakutanie hapo biafra
cant say ni tanzania's tahrir square-naona wameona kuliko wawazuie kabsa-ni bora wawaache wakajazane sumu hapo biafra-
 
ningependa kujua kina nani ni organizers na kina nani watakuwepo hiyo kesho kutoa mada
 
Back
Top Bottom