Polisi wawalazimisha vijana kufanya kufanya mapenzi

Kama walimfanyia vituko Mh. Lema, mbunge wa Arusha, kwa watu wa kawaida itakuwaje?
 
Aah! Tumechoka na uchochezi na uchakachuaji wa habari! sio kweli hii mada. thanks


Achana na sisi tunaowajua hawa vijana, ambao waliodalilishwa wanatoka upande wa manyara ukimwacha yule supervisor wao.

Kasome MWANANCHI YA LEO.
 
Dagh hadi kuna mapolice gays , watu watapona kweli?, kuna gay police mmoja huwa akikamata , haswa haswa vijana masharobaro( meaning handsome boys) pale maisha club,amabo wanakau hawana kosa na wana kwenda club ,yeye ana sisitiza kua wameficha bangi , so lazima awasachi, nacho fanya ana walazimisha wavue nguo au kuanza kuwa papasa sehemu za uume na kushika dhakali eti kuangalia kama wameficha bangi kwnye chupi. Hii ni sawa na hawa police, cuzin wangu ame kumbwa na huyo police tumemfuatilia tatizo sura hajaishika
 
What do you expect!? Nchi inaongozwa kienyejienyeji tu ndio matokeo yake haya tunayapata! Ee Mungu utupe nguvu ya kuwateketeza wote wasio na utu na wanaotumia pisitions zao kunyanyasa wengine!
 
nimeisoma hii story kta mwananchi la leo kwa kweli inatia uchungu sana, hii ndio mipolosi ya nchi hii, mmoja akioza wote mmeoza, jinga sana!!
 
Jeshi la Polisi halina tofauti kabisa na jeshi la Polisi la Africa Ya Kusini wakati ule wa utawala wa makaburu,mpaka tutakapofanya kama walivyofanya wanahi wa africa kuhusu kupinga utawala wa kibaradhuri ndipo tutakapo komboka sasa hivi tukingojea maneno maneno hatuikomboa nchi yetu toka kwenye genge la wahuni na hawafiki ishirini ni kuufanya maamuzi magumu tuu kama wananchi
 
Back
Top Bottom