Polisi wavunja mkutano wa CHADEMA Dodoma

Eti utawasikia wakiwataka wananchi watii sheria bila shuruti, wakati huo wao wako mstari wa mbele kuvunja sheria.
Haya ni matokeo ya failures wengi kuajiriwa jeshi la polisi, hawatumii akili hata kidogo.
 
Ccm inaogopa kwa danadana na ulaghai wa miradi ya barabara, umeme na soko jipya la chang'ombe extension ...wanachang'ombe ni wakati mzuri wa kuiangusha ccm ktk kura za udiwani..pasina upinzani wa kweli mutasahaulika acheni Urangi hauwapeleki kokote..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom