Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

Angalau Police Force wamepata kazi ya kufanya na sio kushinda kwenye barracks wanapiga majungu!

Thus why nikasugest nafasi za ajira kwa askal police zipunguzwe!! Hawana kazi ya kufanya zaidi ya kuumiza raia wasiokuwa na hatia! Vijana wanaandamana,hawana hata jiwe mkononi then wanapigwa virungu na mabom ya machozi!! Ndo kaz walioajiriwa?? Kama sio kupima hasira za watu ni nn! Raha yenu ni kuumiza wengine?? Naogopa ipo sku wataondolewa uvivu na kibao kitawageukia! KILA LA KHERI UDSM!
 
Mdogo mdogo hata masri tulianza hivi hivi;polisi na wanajeshi mkae kando mtuache tufanye mambo yetu kwa faida yetu na nyie pia
 
wanagomea mikopo..........kwanini wasiende kuchukua majumbani kwao ili waongezee. Ni uoga wa U.E nani asiyefahamu hilo. Kazeni buti. We are paying a lot of taxes for you and your f........gov and still we get dsturbed by your maandamano kwenda sijui kwa babazenu kudai hela ya nyongeza kutoka kwenye bajeti ipi. students and your waziri sijui and whoever is concerned mnafanana coz hamjui watu wanavyochakaa kuwalipia taxes ili mpate hiyo mikopo.......5000 kwenda 10000 kutoka budget ipi? ahhhhhhhhh......siwezi somesha mtoto wangu huko atakuwa mwehu na mvivu wa kufikiria mikopo tuuuuuuuuu
 
UDSM is on lockdown! Tear gas, plastic bullets you name it! Hali inatisha na wanafunzi wamo tu! Wamegoma na wametembea kwa amani na kwa nyimbo polisi wangelinda tu fracas isingetokea.
 
Mh!nafikiri sasa hivi tutakuwa kama Misri na Tunisia!!
jidanganye ndugu yangu.
hawaandamani kutafuta haki kwa jamii nzima ya watanzania bali wanachotafuta ni ongezeko la allowance ili waweze kufanya zinaa vizuri, wapate hela ya kuhonga na kuongeza kiwango chao cha uhudhuriaji katika club mbalimbali za usiku.
ni wapumbavu wasomi wa sasa.
hata kwenye midahalo wanadhihirisha upumbavu wao.
wako wapi wanafunzi kama walivyokuwa akuna SAMUEL SITTA enzi hizo wakiwa UDSM?????????
 
Hawa UDSM wananyanyasika sana ni haki yao kugoma kwani 5000 kwa hapa Dar utaishije, waendelee maana bila kugoma siku hizi haki yako hupati, sasa imebaki zamu y wagonjwa kugoma kutibiwa.
 
wanagomea mikopo..........kwanini wasiende kuchukua majumbani kwao ili waongezee. Ni uoga wa U.E nani asiyefahamu hilo. Kazeni buti. We are paying a lot of taxes for you and your f........gov and still we get dsturbed by your maandamano kwenda sijui kwa babazenu kudai hela ya nyongeza kutoka kwenye bajeti ipi. students and your waziri sijui and whoever is concerned mnafanana coz hamjui watu wanavyochakaa kuwalipia taxes ili mpate hiyo mikopo.......5000 kwenda 10000 kutoka budget ipi? ahhhhhhhhh......siwezi somesha mtoto wangu huko atakuwa mwehu na mvivu wa kufikiria mikopo tuuuuuuuuu

Mungu akusamehe hujui usemalo. Labda hujasoma vyuo vya TZ. Na wala sio mzazi. Wewe ungefaa uwe FFU ili upige tu virungu na mabomu bila kuhoji
 
President Kikwete has to say something. Kwa sasa wanagoma kwa mambo yanayowahusu. Ila siku wakigoma kwa mambo yanayohusu jamii, lazima wataungwa mkono na watu wengi. Maandamano yamefika Mwenge, sasa pale Mwenge hao polisi wataweza kutofautisha wanafunzi na abiria wa kawaida?
Tunisia walianzia kwa vijan akukosa ajira hadi kufikia rais ajiuzulu.
Kikwete sema na vijana wako.
 
Chadema wanawaharibu hawa watoto. Wameonyesha mfano mbaya wa kuleta chaos zisizo kuwa na tija kwa taifa. Au ndio muendelezo wa kulifanya taifa lisitawalike? Lakini wakiongezewa boom si watakwenda Bils! na wazee wa chama fulani watanufaika? I can smell fish here!!!!
 
Wana UDSM mmefanya kitu kizuri sana kuikumbusha serikali kuhusu mfumko wa bei usioendana na allawance mnayopatiwa! LAKINI, MIMI NADHANI WANAOTESEKA SIO NYIE PEKE YENU,KARIBU VYUO VYOTE TZ VINIPEWA KIASI HICHO HICHO! CHA MSINGI MNGEWASILIANA NA KUKUBALIANA WANAFUNZI WA VYUO VYOTE TANZANIA MUWEKE MGOMO USIO NA KIKOMO HADI WATAKAPO TATUA MATATIZO YENU! Hii ingeongeza ushawishi kwa serikali na makundi mengine kuwasapoti! SIKU ZOTE NAAMIN UMOJA NI NGUVU! TAFUTENI JINS YA KUUNGANA VYUO VYOTE KUONYESHA MSISITIZO!
 
Chadema wanawaharibu hawa watoto. Wameonyesha mfano mbaya wa kuleta chaos zisizo kuwa na tija kwa taifa. Au ndio muendelezo wa kulifanya taifa lisitawalike? Lakini wakiongezewa boom si watakwenda Bils! na wazee wa chama fulani watanufaika? I can smell fish here!!!!

sasa chadema hapo wanaingiaje?

watu wengine bwana.....sifuri sifuri sifuri
 
Chadema wanawaharibu hawa watoto. Wameonyesha mfano mbaya wa kuleta chaos zisizo kuwa na tija kwa taifa. Au ndio muendelezo wa kulifanya taifa lisitawalike? Lakini wakiongezewa boom si watakwenda Bils! na wazee wa chama fulani watanufaika? I can smell fish here!!!!
kuna mtu alitabiri kwamba wataambiwa chadema ndio wamesababisha kumbe kweli, ndugu anayesababisha haya ni kikwete na serikali yake waliokalia ufisadi na kushindwa kuongoza nchi ndio maana nchi haitawaliki. Jk is a total failure aondoke.
 
Chadema wanawaharibu hawa watoto. Wameonyesha mfano mbaya wa kuleta chaos zisizo kuwa na tija kwa taifa. Au ndio muendelezo wa kulifanya taifa lisitawalike? Lakini wakiongezewa boom si watakwenda Bils! na wazee wa chama fulani watanufaika? I can smell fish here!!!!
Naomba kutofautiana na wewe. Miaka ya 90 tulipokuwa tukigoma hapakuwa na CHADEMA.
Leo wanagoma na wanataja kwa nini wanagoma. CHADEMA haijachochea kitu. CHADEMA haikuwa RUCO wala Tumaini. Na ukitazama migomo yao yote yanahusiana na Bodi ya mikopo. Bodi ya mikopo siyo chama!
Vurugu tunazoona ni kutokana na polisi kushinikiza waache kuandamana. Wangewaacha wafike wanapoenda wakapokelewa na mtu aliyewekwa wakasikilizwa na wakaambiwa jibu watapewa unafikiri wangefanya fujo?
Wangefika makumbusho tu wangechoka na kuacha kuimba na kutembea kwa amani.
Sasa hivi Mwenge hapafai hata kidogo.
 
Lile washa washa nini??

Gari la kumwagia binadamu maji yenye sumu ya kuwasha mwilini. Sumu hiyo inanunuliwa kwa pesa nyingi za kigeni kutoka mataifa ya magharibi na marekani, cha ajabu hao wanaotuuzia hawatumii kabisa sumu hii ila sisi sasa...!
 
Watu wengine bwana sijui akili zao ziko makalioni?Hapo hakuna cha uchadema wala uccm wala cha university exams swala llilo wazi hapo ni kwamba huwezi ishi dar ya sasa kwa shilingi 5000 kwa siku hapo ni kuwatesa hawa vijana jamani tumwogopeni mungu angalieni pia na mfumuko wa bei wa sasa na mazingira ya elimu wanayoface.
 
wanagomea mikopo..........kwanini wasiende kuchukua majumbani kwao ili waongezee. Ni uoga wa U.E nani asiyefahamu hilo. Kazeni buti. We are paying a lot of taxes for you and your f........gov and still we get dsturbed by your maandamano kwenda sijui kwa babazenu kudai hela ya nyongeza kutoka kwenye bajeti ipi. students and your waziri sijui and whoever is concerned mnafanana coz hamjui watu wanavyochakaa kuwalipia taxes ili mpate hiyo mikopo.......5000 kwenda 10000 kutoka budget ipi? ahhhhhhhhh......siwezi somesha mtoto wangu huko atakuwa mwehu na mvivu wa kufikiria mikopo tuuuuuuuuu

Shenzy, jaribu wewe ku-survive kwa bajeti ya shilingi elfu 5 kwa siku kama utaweza. Piga hesabu gharama ya chai, lunch na chakula cha jioni. Hapo bado maji ya kunywa, kuoga na kufulia nguo ni ya kununua kwenye ndoo. Pumbaf mkubwa wewe. Kwani serikali inatoa shilingi bilioni 100 kwenye bajeti ipi kuwalipa DOWANS kwa mkataba wa wizi ishindwe kutulipa sisi wanafunzi shilingi elfu 10 tu japo tufikie nusu ya gharama halisi ya maisha ya leo. Watu kama nyie tukiwakamata dawa ni kuwawoa tu.... Ebo?!
 
Chadema wanawaharibu hawa watoto. Wameonyesha mfano mbaya wa kuleta chaos zisizo kuwa na tija kwa taifa. Au ndio muendelezo wa kulifanya taifa lisitawalike? Lakini wakiongezewa boom si watakwenda Bils! na wazee wa chama fulani watanufaika? I can smell fish here!!!!

Inatakiwa ukapimwe akili,sasa hapo chadema wanaingiaje?mtu una ndevu alafu unaongea ujinga.
 
wanagomea mikopo..........kwanini wasiende kuchukua majumbani kwao ili waongezee. Ni uoga wa U.E nani asiyefahamu hilo. Kazeni buti. We are paying a lot of taxes for you and your f........gov and still we get dsturbed by your maandamano kwenda sijui kwa babazenu kudai hela ya nyongeza kutoka kwenye bajeti ipi. students and your waziri sijui and whoever is concerned mnafanana coz hamjui watu wanavyochakaa kuwalipia taxes ili mpate hiyo mikopo.......5000 kwenda 10000 kutoka budget ipi? ahhhhhhhhh......siwezi somesha mtoto wangu huko atakuwa mwehu na mvivu wa kufikiria mikopo tuuuuuuuuu

Hata sisi huku ughaibuni tumesoma kwa mikopo wewe vipi na mawazo yako Musflisi.

Sema wazi mtoto wako utamsomesha kwa pesa za wizi na uharamia.
Fedha za serikali za kuwalipa Akina Rostam Aziz na Dwans yao zipo tele lakini za kuwasomesha vijana wetu hakuna.

Huoni kwamba hata kama mtu unatumia kamasi kufikiri utapata jibu sahihi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom