Polisi Waunda Tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

Tume hizi ni dalili za ulaji tu kwani hazina tija kwa jamii. Cha msingi kila kitu kipo wazi hapa wote walio husika kwa namna moja au nyingine lazima wafikishwe katika vyombo vya sharia.

Poleni sana.
 
Hiyo tume itakuja kutafuta nini wakati ushahidi wameshaufuta? Wamemzika marehemu kabla ya forensic investigation, walibeba mwili wa marehemu kutoka kwenye tukio haraka sana ili kupoteza ushahidi...bado naamini RPC Iringa anahusika na unyama huu...awajibike, polisi aliye triger lile bomu anajulikana awekwe ndani kwa kosa la mauaji
 
Back
Top Bottom